Wadau wote wa CC........
Naitisha rokoo hapa, ambaye kafungua mwaka 2013 akiwa majicho.... Nikimaanisha watakaoitika kuanzia saiv mpaka saa 12 asubuhi aitike kama ifuatavyo:-
2012 na 2013...
jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
1.Eti jeneza laki 4,kwani linafufua?!
2.Eti hand bag 80000,kwani inabeba mimba ama?!
3.Eti bash ya kuvuka 2013 ni 80000,kwani itanivukisha hadi 2015 au?!
4.Eti kuangalia movie ni 12000,kwani...
Jamani hivi wanawake wenzangu mnajua alichokifanya huyu Mzee Bishanga. Basi wiki iliyopita inasemekana alionekana Maeneo ya Mwananyamala 'A', pale Leo Tupo Hapa Pub walipokutana wana Chit Chat ili...
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa kuzidi kupoteza wasanii mahiri na wenye vipaji. Lakini kazi ya mungu haina makosa yeye ndie hutoa na kutwaa natunaimani atazidi kuwazidishia na mwaka huu...
Dada mmoja alijifanya mlokole kipind kiref but za mwiz 40 dada yake alisafr ck 1 akamwacha na kabint kenye 10yrz akapata muda wa kuleta buz lake, baada ya dada yake kurud akiwa na shoga wake yule...
Jamani ndugu zangu,
Nmefika kijiweni tu jamaa akaanza tupa story juu ya adhabu walompa kijana mpenda wake za watu baada ya kufumaniwa
Ile kukutwa chumban tu jamaa wakamshka mfumaniwa..wakamtanua...
Cku moja unapigiwa cm na mwanamke umpendae kwa dhat kuwa anataka mkeshe wote den mnaenda klabu jamaa anataka no za yule mwanamke ww ukajidai kuwa ujui alafu pale baada ya kutoa no wanaanza kuchat...
Lile swali la "TUPO WANGAPI" nadhani tumeshapata majibu.
Juzi Rais alitangaza kuwa tupo 44,929,002.
Kwa hiyo tusisumbuane kuulizana tupo wangapi?
Kwa sasa nawaruhusu kuangaika kwa kua...
Wadau kwa hisani ya Bishanga na TANMO na bodi ya wadhamini kwa ujumla wake niwape mbili tatu zilizotukia hadi tunafunga mwaka 2012 kama ifuatavyo
i. Madame B awagonganisha Ruttashobolwa, Chili na...
Nyepesi nyepesi nilizopenyezewa mishale hii zinaeleza kuwa Bishanga amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Buseresere akisumbuliwa na kifaduro. Pia, nyepesi hizo zimeongeza kuwa hali yake ni mbaya...
Wakuu nimepata udaku wa matukio mbalimbali yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwa wana chit chat walioko safarini Tanga,nimemtafuta TANMO ili arushe bombani hajapatikana hadi sasa, TANMO popote...
Ndugu zangu wapendwa wa jf nawatakia heri ya mwaka mpya 2013. Mwaka huu uwe wa upendo jamani tupendane tuungane ili tusogeze hili gurudumu la maisha kwa amani. Nawatakia wa tanzania wote na east...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.