Jamani wana jf hapana shaka mu wazima sana!
Nakumbuka kama miezi miwili au mitatu iliyopita huyu mwana jf mwenzetu aliwahi kuleta wazo la members kuweza kukutana walau hata mara moja kwa mwaka...
Jamaa kasimamishwa na
trafiki yuko hai spidi
mwanawani. Sasa ona
maongezi: Trafiki: Unajua kuendesha
kasi kiasi hicho ni kosa la
jinai? Jamaa: Najua lakini wala
sijali, kwani we unatakaje...
Kutokana na baadhi ya members kuwa na IDs ambazo ni unisex, naomba uweke hapa jinsia yako ili hii tabia ya ku-approach mwanaume mwenzako ife. Nadhani members mtalielewa hili nami naanza kwa kusema...
Eee Baba yetu uliye mahali pa juu palipoinuka, Ninakuja mbele zako kwa moyo wa ukunjufu, ninaukaribisha uwepo wako mahali hapa,ninakaribisha upendo wako mkuu utamalaki katika jukwaa hili, ninaomba...
Mfalme mmoja alitoa zoez kwa atakae vuka mto
wenye mamba atamzawadia/atamuozesha
bintie wa kike kabla hajamalizia kutangaza ghafla mmoja
akaingia majini akaogelea fasta hadi akavuka alipo...
Habari Kutoka Yelusalem
Mnataarifiwa kwamba hakutakuwepo na sikukuu ya Chrismass mwaka huu kutokana na kwamba mama Mariam amechoka kuzaa kila mwaka hivyo kaamua kutoa mimba. Hivyo uwatarifu wote...
Mambo ya Fastjet ,Jana kuna rafiki yangu ametoka dar ,kushuka pale KIA dUH..alidhani yupo UBUNGO BUS TERMINAL ... Cha kufurahisha nusu walioshuka walikuwa wanaulizia bodaboda maarufu kama (TOYO)...
Finding one of her students making faces at others on the
playground, a female English teacher stopped to gently reprove the child.
Smiling sweetly the teacher
said, "When I was a child, I was...
Natumia nafasi hii kukutumia salamu popote pale ulipo. sisi huku chit chat hatujambo. Dhumuni la waraka huu ni kutaka kujua kama mashindano ya miss chit chat umeyastopisha au umeyafuta. Sababu...
May i take this opportunity to dedicate this song to Miss Chit Chart Nov 2012 and I wish her all the best in da Coming Christmas and New Year 2013.
"Diamonds"
Shine...
A teacher was in a class teaching mathematics.While the teacher was continuing with his lesson,one student called Juma was siting on his desk opposite to the window looking outside.He was...
Fundi mmoja akiwa kazini na kibarua wake, alikuwa juu ya paa anaezeka bati akiwa amevaa OVERALL .Ghafla akateleza na kuanguka kwa bahati nzuri kabla hafika chini lile OVERALL alilovaa kikanasa...
Wadau niaje?
Kuna mdau aliahidi usd 1000 za cristmass straight from New york..
Kuna yeyote mwenye fununu kama zinaingia lini au Kongosho ameshatuzulumu maana nasikia ye ndo montress wa hilo...
Muda wa kutoka shuleni umewadia mwalimu akawaambia wanafunzi wake
Mwalimu : Atakayejibu swali langu kwa usahihi ndio ataenda nyumbani leo
Juma kuona hivyo akatupa begi lake nje ya dirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.