Nipo hapa DSM maeneo ya kigamboni natamani kama ningepata mtu wa kuweza kunifundisha kupiga vyombo vya muziki kuanzia keyboard, guiter, drums na vingine. Mwenye kuelewa sehemu anielekeze.
Bonge la show m2 wangu ni show lakukata na shoka litakalo fanyika ktk jiji kubwa la akhela siku ya kiama wakali kibao wata kuepo . Issakijot,, nasma kidogo, omar kopa, 2pac shakur, michael jacson...
When I was young, my intention was to go to medical school.
The entrance exam included several questions that would determine eligibility.
One of the questions was "Rearrange the letters P N E S I...
hivi ni kweli umewatuma manabii wengine,maana kila kukicha kuna kanisa jingine,huyu nabii na huyu ni nabii mwingine,huyu anaponda na huyu anampinga mwingine,wanahubiri kuhusu pesa na sio kitu...
Nimekuwa najaribu kufanya tathmini ya ubora wa wanaume wa kibongo kwenye swala zima la mahusiano, ukiwalinganisha na wengine wa East Africa pamoja na West Afrca.
Naombeni mchango wa mawazo
Husika na kichwa cha siredi hapo juuu.
Mimi stevoh naanza kutuma salamu zangu kwa wafwatao sijaanza kwa mfumo wa "decending order or accending order" hii ni "random selection" naweza kurudi...
Lady: Do you smoke?
Guy: Yes I do.
Lady: How many packs a day?
Guy: 3 packs.
Lady: How much per pack?
... Guy: $10.00 per pack.
Lady: And how long have you been smoking?
Guy: 15 years...
Ni wazi kuwa mtandao wa JF unazidi kuwa maarufu na kukua kwa kasi, hapa niandikapo JF ina member 99,918 ikiwa ni member 82 tu wamesalia ili kufikia member 100,000. Je ni nani huyo atakeyakuwa...
1.i have a boyfrndz bt he's not in da country
2.the lecturer called me bt i ddnt answer
3.am not bleachng ma skn,my natural colour z just comng out
4.am on ma periods
5.i went 2 visit a guy in...
kuna jamaa yangu nipo nae hapa
ananiboa kinouma
yeye aliendaga Dar
sasa kila sehemu akiiona kwenye
tv
utaskia
coco beach iyo
mala karia koo iyo
mala akiyaona maji baharini
anaxema...
7th Dec.2012 to 10th Dec
Mugumu Town - 3 nights
10th Dec.2012 over night
​
Tarime Town over night
11th Dec, 2012
Mwanza City
12th Dec. 2012
TBA
Any JF member in the above mentioned...
Kwa taarifa nilizozipokea hivi punde toka kwa jirani yangu amenitaarifu kuwa kigogo mmoja wa chama fulani cha siasa hapa nchini amekutwa amefia katika chumba alimokuwa amefikia. Alikuwa amefika...
SIJUI KAMA SIKU HIZI ZIPO HIZI
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
1. Ukubwa wa Moyo wa mtu ni sawa na Ngumi yake
2. Saizi ya Kiuno ni Mara mbili ya mzingo wa shingo yake (ndio maana wakaka wengi wanapimia suriali shingoni )
3. Urefu wa Unyayo ni sawa na urefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.