Unafki mwingine bwana...
Limtu tuko nalo hapa hapa mtaani
kwetu. Kipindi kile kafa Mzee
Mwakilembe ilikuwa kimya kimya,
lahaula fil-aiti, tukakutana kwenye
kuaga maiti, kipindi fulani...
Wana CC!
naomba mjumuike nami kusheherekea siku niliyozaliwa ambayo ni tarehe kama ya leo, miaka kadhaa iliyopita.
watu8 anawapenda wote!
HII ni GIFT ya COOKIES toka kwa LAAZIZ wangu measkron....
May all the Luos in the house stand up, including my good friend Obama !
Guest: Excuse me sir; may I have your contact no.
Luo: Which one; Landline, Tigo, Zain, Telkom wireless, TTCL...
Kuna jamaa alikua hajui
kiingereza alikua anahitaji kuku
Jinsi ya kuzungumza kuwa nataka
kuku ni ngumu
Pembeni kulikua na mteja
mwingine anakula mayai
Akamuita mhudumu akasema see
that
I...
wakuu na waheshimiwa wa chit chat, kwenu.... yaaa
jamani mie leo napendekeza tupendekeze vijiwe au sehemu ambazo twaweza kuwa hapo na kufurahia mechi za pamoja
mie ningependekeza kwenye...
Mzee kutoka shamba kaibiwa pesa kwenye daladala k'koo - mbezi.Mzee katoa tangazo '' tafadhali aliyechukua hela yangu arudishe haraka kabla sijafanya tukio la mwaka 78'' Mwizi kusikia hivo jasho...
Mungu wetu atusaidie sana maana kifo ki karibu ye2
Ni vigumu kuamini lakini inatubidi kusadiki
Baada ya kusadiki ya kwamba tunapoteza watu muhimu na vijana zaidi tangu mwaka kuanza maana...
Morning pipoz!!!!!
Nilipoanza kazi kampuni A hakuna aliyeshangaa zaidi ya kunipa hongera... Kampuni nzuri yenye hadhi yake, ila siku nilipoacha na kuhamia Kampuni B kila mtu aliniona kama vile...
A herd of buffalo can move only as fast as the slowest buffalo. When the herd is hunted, it is the slowest and weakest ones at the back that are killed first.
This natural selection is good for...
Habhari yenu Bhana
Nimekuja rasmi kutoa ufafanuzi juu ya mashindano yetu amabyo huwa yanaendele hapa chit-chat.
Hii imetokana na maoni ambayo yamekua yanatolewa na member kadhaa hapa CC.
NINI...
Kuna demu alicmamishwa na jamaa akaanza kumuuliza maswal,binti c akaleta swagger za DNA:Una maswal mengi kwani we ni polisi?jamaa akamjibu:una chunusi nying kwan we ni fenesi.?
Sijapendezwa na tabia za wasanii wa bongo movie kabisa hasa wa kike. Nadhani watanzania wenzangu mtaungana na mimi kwa asilimia zote. Nawasihii wabadilike kwani kwa tabia zao hawatafika popote.
Naombeni majibu,juu ya weekend
Mliokwenda klabu,na ndoa mkadefend
Mkaiepuka aibu,mkaibuka washindi
Mlifanyaje?
Watu walilewa,wakafanyiwa mbaya
Na pombe wakazidiwa,wakazichota haya
Kwa lazima...
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.