Ebu ona raha iliyoje kwa huyu mtoto kuwa na mama mwenye umbo zuri kumuwezesha kusimama kwa raha ili kuona nini
kinaendelea huko mbele. Jamani nani kama mama??
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti...
Jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi ya kondakta ndani ya daladala ziendazo pwani alipata aibu ya aina yake
pale alipokuwa ameuchapa usingizi wakati alipokuwa kazini mambo yalikuwa hivi:-...
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
MARRY CHRISTMAS!
Uongozi wa Jf nikianza na "Founder" SALUTEE,
Mods,
Viranja wa majukwaa yote ya Jf bila kumsahau
"Monter" WA CHIT-CHAT.
(jina nahifadhi kutokana na sababu za kiusalama...
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara...
MKWE:yaaani unakuja kuposa binti yangu huku unatafuna big G?
JAMAA:Mdomo wangu
unanuka nilivuta sigara
MWE:na sigara unavuta?
JAMAA:Nilivuta jana
nilipokunywa pombe wkt niko club
MKWE:eeeeh...
habari ya jumapili?
hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda...
Mdau nafahamu katika kutafuta kazi kuna mambo mengi ya narandana hebu sema wewe wakati unatafuata kazi ilikuwaje na ni maswahibu gani ulikutana nayo??
Je ulifanyeje kupata kazi?
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama...
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.