JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tafsiri ya Moshi! M-Mungu O-Onyesha S-Sehemu H-Hela I-Ilipo. Wachago hoyeee!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ebu ona raha iliyoje kwa huyu mtoto kuwa na mama mwenye umbo zuri kumuwezesha kusimama kwa raha ili kuona nini kinaendelea huko mbele. Jamani nani kama mama??
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nokia Asha jamani ni shs ngapi huko madukani? anyone anayejua?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi ya kondakta ndani ya daladala ziendazo pwani alipata aibu ya aina yake pale alipokuwa ameuchapa usingizi wakati alipokuwa kazini mambo yalikuwa hivi:-...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
............
0 Reactions
1 Replies
913 Views
waheshimiwa weekend imeendaje/? poa bouna note.,:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin:
0 Reactions
28 Replies
2K Views
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII! 1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' 5. Kupamba kadi sebuleni 6. Ukumbi wa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
MARRY CHRISTMAS! Uongozi wa Jf nikianza na "Founder" SALUTEE, Mods, Viranja wa majukwaa yote ya Jf bila kumsahau "Monter" WA CHIT-CHAT. (jina nahifadhi kutokana na sababu za kiusalama...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
umeniudhi sana! umenisikitisha sana! na ukibisha........................................................................................................................ Preta njoo mwaya !
2 Reactions
21 Replies
2K Views
we unafanyaje ikikutokea hiyo??
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara...
2 Reactions
148 Replies
8K Views
Japani waliunda kifaa cha kushika wezi: China, wezi 1000 walishikwa. Nigeria, wezi 700 walishikwa. Tanzania, wezi 500 walishikwa. Kenya, Kifaa hicho kiliibwa!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKWE:yaaani unakuja kuposa binti yangu huku unatafuna big G? JAMAA:Mdomo wangu unanuka nilivuta sigara MWE:na sigara unavuta? JAMAA:Nilivuta jana nilipokunywa pombe wkt niko club MKWE:eeeeh...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wale wa nyama choma, Wale wa roast, wale wa michemsho yoote utapata. Wee njoo tuu ujipatie baada ya kupiga SIASA sana njoo ujiburudishe
0 Reactions
3 Replies
974 Views
habari ya jumapili? hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Mdau nafahamu katika kutafuta kazi kuna mambo mengi ya narandana hebu sema wewe wakati unatafuata kazi ilikuwaje na ni maswahibu gani ulikutana nayo?? Je ulifanyeje kupata kazi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo). Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au?? Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba...
0 Reactions
48 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…