JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Unamnunulia mke wako SIMU mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamlipia mke wako ADA ya chuo, Mwanaume mwenzako anamlipia kodi HOSTEL, Huo ni Mwingiliano wa mtandao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii tabia imekithiri haswa kwa wadada wa mijini Uko jikoni unapika mara unaongea na simu, Mara unachat txt., Mara Uko kwenye tv , mara unafumua nywele, Mara umeshaingia chumbani chakula umeacha...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Kuna jambo linanikera sana humu ofisini humu, hivyo kila wakati najikuta najiuliza hivi ni mahala pake au ni ignorance. Hivi ni mahala gani ambapo wa akina dada wanatakiwa kutunza pedi a.k.a...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mume alienda shamba akamuacha mkewe na nduguye nyumban, aliporudi hakuwaona mara akasikia sauti kutoka chumbani ahaa shemeji lamba haraka! 2malize nataka nikaoge. mume alifungua mlango kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf wa ukerewe niko njiani please mniandalie viazi na samaki furu.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna thread hapa Chit-Chat yenye title "Majuto ya Sande". Nimeipitia,lakini binafsi sijaona upungufu wowote. Mbona mod ameifunga? Chit-Chat imevamiwa?
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Ukijaribu kuniweka pembeni,daima nitakukimbilia kukufuata ulipo zaidi ya Ruttashobolwa Chilli na tedo wanavyokukimbilia sa hv, ooh Madame B penzi lako ni tamu kama asali, ooh Madame B niambie...
3 Reactions
204 Replies
10K Views
Jamaa anapiga simu Makumbusho ya Taifa"Haloo,hapo ni Makumbusho ya Taifa?"OFISI:"N dio 2kusaidie nini?" JAMAA:"Ok,naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brazameni mmoja mpaka pouda katoka zake jijini daslam na bonge la pikipiki kwenda kuliuza Mererani.Alipofika nalo,wanaume wakaliangalia na kulikagua then wakaona ni zuri litawafaa.Wakamwambia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Your embarrasing moment?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ala,cheka sasa,sa unasubiri nini ???muone sura mbayaaa!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo weekend inaanza. Ratiba yako ikoje? Salama lakini utokako?
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana CC? Nimeona niungane nanyi kuwaeleza mpango wangu wa mwaka 2013! Kuna kero moja kubwa inanisumbua sana nilijitahidi kiuvumilia naona nimeshindwa mimi! Hili suala la michango ya harusi...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Barely a few hours after his appointment... a statement coming out of the Chelsea's Board Room says: : Rafa Benitez has been sacked as Chelsea manager for failing to win anything since taking...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thanksgiving is not only about the turkey and the feast that follows, it is a quiet reflection of how God is showering His abundant blessings upon you. So thank Him with all your heart...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
TAHADHARI MATAPELI WAJA NA NJIA MPYA SASA Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mamboz.... hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
1 Reactions
64 Replies
16K Views
Kuna mji mmoja walikuwa wanawaua wamakonde kwa sababu ya kuchafua lugha wakawa wanamuuliza kila mtu aseme neno then akikosea wanamua wakamuuliza jamaa wa kwanza,sema sahani jamaa akasema...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…