1) Unaweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia kwa KUJAMBA mfululizo kwa miaka 6 na miezi 9
2) Hakuna Pundamilia anayefanana mistari na wenzake?
3) DREAMT ndiyo neno pekee...
Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni...
INAUMA SANA!
"Kumtakia Hapibethidei(sms) Umpendae,unasubiri Jibu Husilipate"
INAUMA SANA!
"Kujikomba Kwa Fulani Ili Ajilengeshe Lakin Akawa Hana Tym Nawe"
INAUMA SANA!
"Kumtumia Vocha...
Samahani sana kwa USUMBUFU, Najua na ninafahamu
kwamba wewe unapenda sana MITUMBA kama MIMI,
Sasa kuna jamaa anauza MISWAKI USED,
ni mizuri haiishi haraka, vipi nikuchukulie MINGAPI?:flock:
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nikiwa kama mwenyekiti wa TUME YA MAHUSIANO NA NDOA hapa chit-chat nachukua fursa hii kutengua na kutangaza kutotambuliwa kwa ndoa kati ya manoah na Ciello...
Habarin, kiukweli nmevutiwa na hili jukwaa lenu so sio mbaya tukiwa pamoja.. Arushaone Baba V Madame B Erickb52 Mamndenyi St. Paka Mweusi, mkiva charminglady C6 zubedayo_mchuzi Ciello FP...
Hbr wana chit chat!
Huwa nakumbuka matukio flani ambayo yalitokea zamani nikiwa Dogo na huwa yananifanya nitabasamu hata nikiwa peke yangu!
Nakumbuka nikiwa darasa la pili kuna mchezo ulivuma...
Mgombea alienda katika kampeni za uchaguzi kwenye kijiji cha SENGE mkoani ruvuma..
salaam ikawa hivi,
mwenye kiti na katibu Wa..senge... ndugu wananchi Wa..senge...vijana na wazee...
Morning,
Najua wapo watu wengi ambao walishawahi kunusurika ktk matukio mbalix2.Mie aunt yangu alinusurika ktk ajali iliyowaua watu 38 mbele ya macho yake! Ilikuwa hivi;walianza safari toka...
EAST AFRICA COMMUNITY MEETING - ARUSHA
ATTENDANCE FORM
SN
PRESIDENT'S NAME
COUNTRY
E- MAIL ADRESS
PHONE NO.
1
MWAI KIBAKI
KENYA
mwaikibaki@yahoo.com...
http://reviewstalker.com/wp-content/uploads/2010/12/17-Happy-New-Year.mp3
No more champagne
And the fireworks are through
Here we are, me and you
Feeling lost and feeling blue
It's the end...
Embu jamani jiulize umenunua gari na unalipenda ile mbaya ukafika TRA kulipia ukapewa namba hizi T666 CCM halafu wewe ni mfuasi damu wa Chama cha upinzani mf CHADEMA. utafanya nn?
Jamani nilikuwa maeneo fulani mzee mmoja katika kutoa nasaha ili vijana wamuelewe vizuri si akatupia stori fulani hivi ya
Mtambuzi kama ilivyo!...
Nikatabasamu nikasema duh,kumbe na mzee yupo...