JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wanajamvi.. salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach. ilikua hivi nimetoka na washikaji naenda...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Muungano wa Zimbabwe na Tanganyika ilikuwa"One ninenteen sixty four Uhuru wa Tanganyika ulikuwa One ninenteen sixty one.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna bwana mmoja aliambiwa mke wake yupo na mtu mwingine gest fulani chumba no. 7. Akakodi Taxi mpaka hapo gest akampa deleva wa Taxi hela yake na ya ziada na picha ili akamletee mkewe kwa namna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habhali yenu bhana Tukiwa kwenye maandalizi ya kuanza mashindano naona ni bora kutangaza zawadi kabla ya kuanza mashindano hapo tyarehe 31 oct, zawadi kwa mshindi wa kwanza (ambaye ndio...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
jamaa mmoja alienda kwa kinyoz akamulza knyoz vp utatumia mda gani kunyoa,kinyoz akaangalia folen akasema md wa saa 3,jamaa akaondoka,kesho yake akarud tena,akamwulza tena knyoz akaangalia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Niliona tangazo hili kwenye moja ya matangazo yao (1)...... "Unagongwa" (2)......."Usikubali kugongwa tena" Unaonaje...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
si vibaya ukajisevia mwenyewe hapa karibuni sana
0 Reactions
6 Replies
1K Views
za leo waungwana , hamjambo sasa jaman mwenzenu leo miguu inawasha inaamaana lazima safari iwepo sasa bas najua leo sikukuu nialiken basi jaman mi nipo mza ivo loooh ila kuna kammvua hapa nipo kwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine. Gud day people.
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Math Teacher If a=b and b=c then a=c, now give me the practical example of this principle from real life. Student : I love you sir and you love your daughter which means I love your daughter.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalamu Leo naomba kujitokezahadharani kwa mara ya kwanza nikiwa nawazo tofauti kidogo,nitaomba kuulizwa lolote kuhusiana na mimi,niulize lolote ambalo ungependa kujua toka kwangu. wenu katika...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Jamani nimechoka kulea na mm nataka kulelewa. Karibuni
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Dear Nyerere: Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport. Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapenzi wadada wote ninaokutaa nao waongooo halafu wanagawa kishez,yaani hadi nimechoka kuotka na mademu mwezi sasa nipo single...dah ila hali tata bana hata sijui nifanyeje
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Remember, life is a wheel, just give it a whirl
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawatakia kheri ya sikukuu ya Eid al adha kwa wana JF Wote popote mlipo, Sio vibaya pia tukajua kilamoja atakua viwanja gani akijumuika na familia yake. Mimi nitakua Ngorongoro weekend nzima na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
eti ndugu waislam wenzangu,nyie mnaonaje?
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Kumekuwa na wingi kubwa sana la watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa Dada Zetu kwa kuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi wajameni nashindwa kuelewa sababu ya hii foleni ya Posta jioni hii....baada ya kupoteza kama saa nzima kwa kutembea umbali wa mita 500, nimeona bora nipark gari na kuendeleza libeneke la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
......jus join Boflo oooo's tag list.. anatisha.. hutokosa cheka........ Boflo ooooooooooooooo :cheer2:
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom