Familia yenye mkwanja kidogo, walikuwa wanaishi katika kabangaloo kao kenye ghorofa
moja. Mamaa alikuwa kajifungua mtoto wa pili ana wiki mbili tu
DOGO: Mamaaaaaaaaaa njooooo huku chumbani...
Dakika tano tu zilizopita tukio hili limetokea hapa kigamboni:
Jioni ya leo tumepata wageni wengi mpaka ilikuwa raha sana. We enjoyed the jokes and th company kwa kweli.
Muda mfupi uliopita...
nadhani anaongoza boflo kwa kupendwa na mabinti-sasa sijui kama wanajua ni me au yeye ni ke!halafu mwingine ni smile anapendwa sana na wanaume-sijui naye kama ni ke au me!!engine wanaopedwa sana...
Jamani sijawahi kula nyama ya bata.
Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata?
Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji...
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
- uzoefu wa masuala ya ndoa usiopungua miaka saba
-awe alishawahi kuolewa na kuachika kwa wanaume wasiopungua walau wawili,
-aoneshe walau ma refarii wawili...
....hivi nifanyeje ili niweze kuwaelewa wanawake? Maana tangu nikiwa mdogo nilikuwa nasikia kauli hii: "wanaume wa siku hizi ni waongo, bora wa zamani". Hata leo hii sentensi hii hii ninaisikia...
Siku za karibuni kumekuwepo na kitu amabcho kinaonekana ni janga lingine la kitaifa nacho ni Watanzania (na wakaazi wengine wa dunia) kusitisha matumizi ya akili katika masuala ya msingi.
Ni juma...
Once you find symptoms of CCMonia sickness,immediately swallow Chademaquine tablets U will be cured.Chademaquine tablets are all over the country.If illness persist consult Dr.Slaa..!
Mzigo mpya wakanga umeingia!
1. Waliopiga mabomu, Mungu atawahukumu.
2. Bora uwe mkarimu, kama Sheikh Msellem.
3. Hebu usiwe hasidi, kama Balozi Seif Ali Iddi.
4. Wapiga watu kwa sifa, kama...
Aoccdrnig to a rseearch at
Cmabrigde Uinervtisy, it deosn't
mttaer in waht oredr the ltteers in a
wrod are witren, the olny iprmoatnt
tihng is taht the frist and lsat ltteer
be in the rghit...
Wife: You always carry my photo in your handbag to the office. Why?
Hubby: When there is a problem, no matter how impossible, I look at your picture and the problem disappears.
Wife: You see...
Habari wana jf, me na Madame B tulikuwa tunauguliwa na baba yetu, anaumwa kansa ya tumbo kwa mda sasa, sasa leo tumepigiwa cm asubuhi sana kuwa amezidiwa sana, hapa tupo njiani tunaenda mbezi...
Wengi mwanzoni walikuwa wanajua kuwa Filipo ni mtu wa jukwaa la siasa, lakini baada ya kufahamiana na marejesho na sweetlady amebadilika kabisa, na alishaacha hata kuripoti matukio "Live" ya...
WOMEN'S REVENGE
"Cash or check?" I asked, after folding items the woman wished to purchase. As she fumbled for her wallet I noticed a Modem for a Internet in her purse.
"So, do you always...
Hey afrodenzi upo wapi dear nimekumiss sana yaani kupita maelezo sijakutia machoni kitambo sana nini kimekusibu... hebu niambie jamani pengine naweza saidia kwa uwezo wa kamba yangu pls hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.