kuna jamaa mmoja alichukua demu na kwenda nae gesti, kufika gesti demu akavua nguo zote na kisha kumwambia jamaa kuwa bila elfu 10 hapati kitu...du jamaa akapagawa akaanza kujisachi zikapatikana...
Ingekuwa vipi kama Mungu akawaondoa wanawake wote ktk uso wa dunia.
wanaume wangeishi style gani ya maisha? ukizingatia kuna baadhi usafi kwao unasababishwa na wanawake
Wadau tuliokuwa shule enzi hizo mambo ya UMISETA yalikuwa na msisimko wake. Unakumbuka nini enzi hizo:
MPIRA WA MIGUU
Michuano ya watani wa jadi:
Mkwawa vs Tosa; Mazengo vs Dom Sec; Uyui vs...
Umeme unaingia pande zote kiuchumi na kisiasa ndio maana kuongezeka kwa mgao usio na kikomo shilingi yetu inashuka thaman na wala hakuna mpango wowote wa kuipandisha sasa ivi KIGOMA ni mgao...
A Russian woman married a Canadian gentleman and they lived happily ever after in Toronto . The poor lady was not very proficient in English, but did manage to communicate with her husband. The...
Katika hali isiyokua ya kawaida mshirika mwenzangu katika mishemishe za ujasiri wa mali na kuongeza kipato, alikua amefungua salon ya kunyolea nywele.
Salon hiyo ipo mjini kati , ghorofa ya 3...
Huu ni mtazano tu msijenge chuki, na maneno yangu sio sheria.
Hizi ni zile zilizobamba hasa kitaa.
OPRAH VS NDIKU KATAU
Dah! kama utani vile alichokiunganisha mola waja wakakitenganisha...
Jamaa mmoja alikuwa anapenda sana kujisaidia muda wa usiku, hiyo tabia mkewe alikuwa haipendi kweli mana ye ndo msindikizaji. Cku moja kama kawaida jamaa haja imembana, akamwamsha mkewe...
jaman unajua kama ulikuwa au unaangalia bunge sasa hv,utacheka 2,lugha ni ngumu mpaka kwenye mackio inawasha...the the to to dah zmejaa kwa baadhi ya wabunge mpaka nomer.
Q: What's red and goes up and down?
A: A tomato in an elevator.
Q: What did one tube of glue say to the other tube of glue?
A: We have to stick together.
Q: What do you say when you meet a...
Mmakonde aliulizwa na mteja: 'Mbona vinyago vyako vizuri, lakini watoto wako wabaya?'
Mmakonde akajibu: 'Vinyago nachonga nchana kweupe, watoto nachonga na nke wangu uchiku kwenye gija totolo...
Basi kuna dogo anaitwa kifuta kila siku akipewa homework shule huwa anampa mdingi wake amfanyie, basi siku moja mdingi hakurudi nyumbani na dogo akaamua afanye mwenyewe, alipompa mwalimu...
Jaza mapengo kwa ku2mia neno {zi} naamka asubuhi nina usingi.... nakunywa chai na maanda.... Kwa mchu.... wa na.... na ndi.... ninae soma sms hii mimi ni chi.... pia mshen.... niliekosa ra.... za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.