JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naamini katika jamvi hili la JF kuna watu wenye vipaji vingi na vya kila aina, wengine wana vipaji vya ufundi wengine kuigiza wengine kuimba n.k. Leo ningependa wana Jamii Forums wote tushare...
0 Reactions
216 Replies
14K Views
Mimi sijambo...hofu kwenu nisiyewafaham... nimepata wazo,baada ya kuona mitandao mingine wana tshirt zenye majina ya mtandao husika...kwa mfano facebook... nikawaza je si vema na sisi...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Mods chonde chonde msi imuvuzishe hii thread yangu kutoka humu MMU coz naamini kabisa hili ni jukwaa sahihi kwa post yangu lol. Ni kuhusu mahusiano yangu na JF, yani JF idumu milele coz hii ni...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Uwa najiuliza hawa wadada wanaoscrub nyuso za vidume na kushika ndevu uwa hawapati hisia zozote?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hv huyu jamaa cjui kapotelea wapi, ni mda cjamckia, cjui ndo likizo, mana me ni m2 wa kuangalia sana taarifa za habari, asa hv namckia Emmanuel Buhohela.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nafikiri kila mtu anaangalia kinachoendelea bungeni yaani lugha ni taaaaaaaaaaaabu, kwa nini wasitafute utaratibu wa kutumia lugha adhimu ya kiswahili maana hii ni shida.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
...hii mimi sijawahi ona!... nimeingia ofisi flani hapa mjini...mlangoni paaaa,nakutana na kitu kama hii...bo!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mi nilichaguliwa kuwa monitor darasa la 6 nikapinduliwa ndani ya wiki mbili kisa utoro.
0 Reactions
113 Replies
7K Views
Kama hataki kujirekebisha na wewe unadhurika kwa makosa atendayo, akirudia MZABE KOFI!!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kila mtu ana vionjo vyake kwenye maisha. Kwangu mimi hizi ndizo Avatar zilizonivutia kwa mwaka 2011. Salute kwao!!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Yes, you have been warned! Do not press this red button even if you really want too. Just don't do it! But, we are for certain you will anyway. "RED BUTTON"
0 Reactions
8 Replies
989 Views
Kila mtu ni kielelezo kwa watu wengine. Kama wewe ni maskini ni kielelezo kwa wengine kwamba umaskini mbaya, na ukiwa tajiri ni kielelezo cha uzuri wa utajiri, kama mzee anachapika ni kielelezo...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
https://www.facebook.com/title20 promote the page for all manutd fans....:) please one love BEL20VE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mi binafsi napendelea morogoro kwanza naona upo centre ni rahisi kwenda pande mbalimbali za nchi, sio poluted kama dar na hali ya hewa moderate. wewe je?
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Bonge la tangazo nalipenda mbaya ila upande wa tv wamelichakachua
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Natafuta English course manake siku si nyingi nina intavyuu, itarushwa laiv kwenye media coz ni kitengo nyeti, panel itakua na idadi ya watu kama MPs. Niokoeni ili nisije nikajitemesha tonge kama...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
mwenye udaku, umbea, uchonganishi, uzushi, majigambo, mipasho, dukuduku, atoe hapa leo kwa sababu hatapata ban hata akitukana. ofisi za jf wote jicho kwa luninga bungeni. Mimi naanza kuna...
3 Reactions
63 Replies
4K Views
Bofya hapo chini Painful Cake - YouTube
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Girls like BIG, WHITE, CLEAN teeth....and fresh breath!.! jitahidini wajameni!..
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ktk maisha ukiweza tu kupata hela na mapendo na amani basi yani hapo sasa ndo kutakuwa na maana ya kuwa na maisha sasa tofauti na hapo ukikosa vyote basi bdo maisha huja yapata na ndicho...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom