JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naomba mnisaidie nenolakiswahili linaloishia fo liwetofautina kifo nafofo jb tfdhl.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
father ; nilete soda we mtoto son ; pepsi or coka? father ; pepsi son ; ya kopo ya chupa? father ; ya kopo son ; ya baridi or yamoto? father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Bei maelewano!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kautafiti kangu(sitaki kuulizwa kuhusu data nk) kamebaini kuwa jumamosi na kipindi hiki cha mpito kuelekea sikukuu.............. Utasimamishwa na tra waangalie kama umelipa ushuru... Utapigwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Happy Birthday to me usipojipenda nakujithamini mwenyewe hakuna wa kukufanyia hivyo. Psalm 103 Praise for the Lord’s Mercies A Psalm Of David. 1 Bless athe Lord, O my soul; And...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
......kumuona spika wa bunge wa nchi moja barani afrika akiwa bila wigi kichwani kupitia TBC1.Ghafla mwanangu ameanza kulia,kwa hiyo niko busy kumbembeleza.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saburi la kichina.,...tumbo la kichina...titi la kichina... Tumbo la kichina....nywele za kichina...guu la kichina...kucha za kichina...kope za kichinaaa...hin haaaaaaa
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wana JF mtu akikwambia kazi ni kwako maaana yake huko mbeleni unakazi ya ziada kuweza kuvuka kikwazo(utajiju huko mbeleni kwa lugha ya mitaaani)sasa vodacom wanaamaana gani kwa sisi watumiaji...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama leo Roho yako itazimika na kifo kuchukua nafasi yake. Unataka wana JF wenzako tukukumbuke kwa lipi? Funguka ndugu yangu!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bibie taylor dayne. Nilikuwa Dodoma ukumbi wa NK. Usipime
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipeni kura ili mnifute machozi
0 Reactions
2 Replies
742 Views
are you game? Inatakiwa tuwe idadi ya watu 10. Ili kuwe na gender balance itatikiwa kua 5/5 usafiri tayari upo. Hakikisha una pesa sio chini ya 1 M. uwe athletic na ready to do crazy things. Hio...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakuu hivi yule mwandishi mashuhuri wa pass za kusafiria za miaka ile ya nyuma kabla ya hii technolojia ya kuandikia computer haijafungwa pale uhamiaji yuko wapi?? Nilikuwa napitia passport za...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Jamaa m1 alikaa masaa ma4 anakichunguza cheti chake cha ndoa, mkewe akamuuliza kulikoni? Jamaa akajibu "Natafuta Expiry Date siioni!!"
0 Reactions
3 Replies
2K Views
uswahilini kwetu kulikuwa na malumbano kati ya mume na mkewe. Mara tukasikia; "jinsi kiwango chako kilivyoporomoka, nafikiria kukupeleka kokote walau ukacheze kwa mkopo ili gemu lako la hapa...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Ninakuhakikishia katika sifa hizi kumi lazima wewe ulikuwa nazo kadhaa. ... 1. Ulishacheza kibaba babaa/kimama mamaa 2. Ulikuwa mwizi wa sukari 3. wakati wa sikukuu usiponunuliwa nguo...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Panya wa3 walikuwa na kikao kifup na maongezi yao yalikuwa ya kutambiana kama ifuatavyo; Panya 1: mi nimekula chakula chenye sumu wala cjafa me balaa Panya 2: we kidogo ivyo mi nimeingia kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alimwambia mkewe: unaonaje tukajikumbushia zile enzi za uchumba wetu? Mkewe akakubali kwa kusema "sawa sio vibaya". Jamaa akamwambia mkewe "basi kesho tukutane saa 4 garden", mkewe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A drunkard enters a bus and realizes his wallet went missing. Mlevi: Somebody has stolen my wallet! If I don't find it, same thing that happened in 1978 will repeat itself today. Passengers...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii mitandao ambayo main aim ni kua connected with friends worldwide inaongeza kiwango cha kufail wanafunzi. O Level na Advance, pia Wanavyuo wanapunguza GPA zao ... Uwongo?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom