CRAZY WIFE.
Ilikuwa mida ya usiku, baada ya kula chakula cha lala salama mke akamwambia mumewe
MKE: Honey, leo tubadilishe style. Kila siku style hiyo hiyo!
(Mume kwa furaha akajibu)
MUME...
Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua...
Vifaa vya kunywea mbege vimeitwa majina mengi tofauti.Na hiki ni kifaa gani na matumizi yake ni nini?
Mdau
Reactions::
. Wednesday, March 21, 2012 2 comments...
Communication is the key i believe it, we gain knowledge through it!
No body knows everything, yet nobody knows nothing!
How can i know something you know that i dont know?
Ofcourse its through...
C lengo langu kukudanganya ila na wewe mdanganye mwenzako...
Juzi niliambiwa na bibi niwashe moto nikatafuta makaratasi sikupata..akanipa noti ya sh 5000 niwashie...
Kwetu tuna nawa mikono...
Katika maisha aibu hazikwepeki,
Enzi hizo nikiwa form two likizo nilienda kumtembelea ndugu, si wakanitandikia kwenye kochi la watu watatu, nikalala kuja kushtuka mida ya saa 11 nimejikojolea...
Wewe ni baba ndani ya familia au hata kama ni wazazi wako,bahati mbaya au nzuri we ni mkali na ukikohoa tuu watoto na mke wanashtuka na wanaitika,siku moja wakaja Polisi home kukuarest,kabla BABA...
Kwako mke wangu na watoto, na jamii nzima kwa ujumla. Najua mtasikitika sana na uamzi niliouchukua wa kujitoa duniani, lakini nimeshindwa kujizuia kutokana na mambo kadha wa kadha ambayo kuyatatua...
Leo boksi si kwa sana kwa hiyo nimejikalia tu hapa nikikumbuka enzi za ushababi wangu....mapitio yote niliyopitia na tajiriba ya maisha niliyonayo na jinsi ilivyoniumba hadi kufikia hapa nilipo...
Kuna Baba mmoja alimkamata mtoto fulani kwa
kosa la kumtania kwamba anakichwa kama
mafiga,baba yule alimchukua mpaka kwa baba
wa mtoto yule,MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI:
BABA WA MTOTO: Na huyo...
A man checked into a hotel. There was a computer in his room, so he decided to send a mail to his wife.
However, he accidentally typed a wrong address, and without realizing he sent the mail...
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu...
Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini.
Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana
1...
Ndugu wana jamvi,
Ingekuwa vipi kama mpambano wa MBAYA BORA TANZANIA ungefanyika leo na washiriki akawa:-
(a) Massoud Massoud
(b) Wassira a.k.a Gombe
(c) Dr. Remmy (r.i.p)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.