JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nasikia ati kipimajoto siku hizi hakiwekwi chini ya ulimi wa mgonjwa baada ya mmasai mmoja kukimeza kwa kuzani muuguzi anempa dawa amese. Jambo hili lina ukweli gani wajameni?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, baada ya kumalizana na kina Nshomile leo niko kwa kina mami na kina Ngosha, Mpo?? naomba tujuliane hali wana JF wa Geita.
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka, baada ya kujiona. "Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!" KICHAA WA PILI: (Akimpokonya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Umewahi kuwa na mtoto mdogo <---5 sehemu ya public, akawa analia alafu watu kibao wanaopita au waliopo karibu wakaanza kukwambia anachohitaji huyo mtoto (kulala, kula, kubebwa, kucheza) bila kujua...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada! eg..Last Kings Tyga Snapback ymcmb snapback MMG Edit Post Reply...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani mimi nashindwa kumuelewa huyu jamaa na hiyo style yake ya kuvaa? Ni kwamba ni shoga au?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Viongozi wahusika mpooooooooo ? Ikiwezekana libatilishwe na kuundwa baraza Lingine litakalokuwa kwa ajili ya wananchi wa kata ya Mzimuni na si kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na hasa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwalimu aliingia darasani. Akaagiza wanafunzi watege vitendwili! Juma akasimama "kitendawili?" Mwalimu "tega!" Juma "NIVUE NGUO nikupe UTAMU!" Mwalimu kwa hasira "pumbavu" mshenzi nani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii inatokea kwa kina dada. Hivi unajisikiaje upo njiani una mishe zako huku nyuma unaanza kusikia miluzi. Psiiiii.... oyaaaaa.... mremboooo..... Tena hamna cha maana wanachokuitia zaidi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Duu hapa nilipo namajanga kibao. Kiukweli hili ni neno majawapo ambalo kila siku iendayo kwa mwenyezi MUNGU. lazima nilisikie masikion mwangu. Je wadau neno hili lina maana gani?? Au umekwisha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu, mkiwa kwenye Jumapili inayoelekea I. C.U kwa kasi sana. Nimekua naguswa sana na wanawake wenye upevu wa kiakili na maarifa na hasa yale yanayoendana na mahusiano. Hidaya (22...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
There was big news in Heaven. Micheal ran to Heaven's gate and said "Whitney what are you doing here?" and she said "I came to sing a duet with you", Aaliyah said "I wanna be in it too"...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The other day I went to the local religious book store, where I saw a HONK IF YOU LOVE JESUS bumper sticker. I bought it and put it on the back bumper of my car, and I'm really glad I did...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni tabia mbaya kila siku hukosei mda wa msosi unapoenda kwa watu, Ni tabia mbaya unaenda kwa watu halafu unasahau kitu makusudi ili kesho uje kukichukua mda wa msosi. Ni tabia mbaya magamba...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
A boss saying 2 his secretary that we are going abroad for a tour for a week. Secretary calls her husband: I'm going abroad for one week. Husband calls her girlfriend: Wife is going away for a...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
kama napiga vile..............!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimekutana na hili bango" drink beer save water"
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Rozi Muhando - Ndivyo Ulivyo [official video].flv - YouTube Ndivyo Ulivyo By Rose Mhando..... wewe ni Wimbo upi umekugusa sana/ umeupenda sana Jumapili/siku ya leo hii?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Welcome to the 21st century: Phones-wireless. Cooking-fireless. Cars-keyless. Food-fatless. Youth-jobless. Leaders-shameless. Relationships-meaningless. Attitude-careless...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mende mmoja alikuwa anamuuliza mshikaji wake yaani shoga Kama wange toka out Pamoja , shoga naye akamjibu yakuwa Leo naumwa yaani niko mwezini(Leo mwenzako na bleed ) kumbe shoga maskini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom