Nasikia ati kipimajoto siku hizi hakiwekwi chini ya ulimi wa mgonjwa baada ya mmasai mmoja kukimeza kwa kuzani muuguzi anempa dawa amese. Jambo hili lina ukweli gani wajameni?
Machizi wawili katika pitapita wakaokota kioo. Kichaa wa kwanza kujiangalia kwenye kikoo,akashtuka,
baada ya kujiona.
"Aloo huyu nani kwenye kioo mbona simjui ?!"
KICHAA WA PILI: (Akimpokonya...
Umewahi kuwa na mtoto mdogo <---5 sehemu ya public, akawa analia alafu watu kibao wanaopita au waliopo karibu wakaanza kukwambia anachohitaji huyo mtoto (kulala, kula, kubebwa, kucheza) bila kujua...
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!
eg..Last Kings Tyga Snapback
ymcmb snapback
MMG
Edit Post Reply...
Viongozi wahusika mpooooooooo ? Ikiwezekana libatilishwe na kuundwa baraza Lingine litakalokuwa kwa ajili ya wananchi wa kata ya Mzimuni na si kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na hasa wa...
Hii inatokea kwa kina dada. Hivi unajisikiaje upo njiani una mishe zako huku nyuma unaanza kusikia miluzi. Psiiiii.... oyaaaaa.... mremboooo.....
Tena hamna cha maana wanachokuitia zaidi ya...
Duu hapa nilipo namajanga kibao.
Kiukweli hili ni neno majawapo ambalo kila siku iendayo kwa mwenyezi MUNGU. lazima nilisikie masikion mwangu.
Je wadau neno hili lina maana gani?? Au umekwisha...
Habari zenu, mkiwa kwenye Jumapili inayoelekea I. C.U kwa kasi sana.
Nimekua naguswa sana na wanawake wenye upevu wa kiakili na maarifa na hasa yale yanayoendana na mahusiano.
Hidaya (22...
There was big news in Heaven.
Micheal ran to Heaven's gate and
said "Whitney what are you
doing here?" and she said "I came
to sing a duet with you",
Aaliyah said "I wanna be in it
too"...
The other day I went to the local religious book store, where I saw a
HONK IF YOU LOVE JESUS bumper sticker. I bought it and put it on the
back bumper of my car, and I'm really glad I did...
Ni tabia mbaya kila siku hukosei mda wa msosi unapoenda kwa watu,
Ni tabia mbaya unaenda kwa watu halafu unasahau kitu makusudi ili kesho uje kukichukua mda wa msosi.
Ni tabia mbaya magamba...
A boss saying 2 his secretary that we are going abroad for a tour for a week.
Secretary calls her husband: I'm going abroad for one week.
Husband calls her girlfriend: Wife is going away for a...
Rozi Muhando - Ndivyo Ulivyo [official video].flv - YouTube
Ndivyo Ulivyo By Rose Mhando..... wewe ni Wimbo upi umekugusa sana/ umeupenda sana Jumapili/siku ya leo hii?
Mende mmoja alikuwa anamuuliza mshikaji wake yaani shoga Kama wange toka out Pamoja , shoga naye akamjibu yakuwa Leo naumwa yaani niko mwezini(Leo mwenzako na bleed ) kumbe shoga maskini...