JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ilikuwa ni siku ambayo boss anasafiri kwa ndege asubuhi anajiandaa kuondoka ndipo alipewa taarifa na mlinzi wake kuwa usiku ameota ndege atakaepanda boss imeanguka na hakuna aliyepona ndipo boss...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu mtaalamu wa picha yupo wapi? Maana maafa mengi sana mwezi huu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nnawasihi wanajamii wenzangu kwa mwaka ujao wa 2012 ya kua msisahau kuwafadhili wageni kwani kun watu waliwafadhili malaika pasipo kujua.
1 Reactions
3 Replies
992 Views
Eti maana ya Moshi ni: M-MUNGU O-ONYESHA S-SEHEMU H-HELA I-ILIPO
2 Reactions
12 Replies
3K Views
...amesoma sana,ana PHD yule! Yaani P.H.D=Passed with High Difficulty!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja mpenda kusoma novel alikuwa kitandani usiku na mkewe akipitia moja ya novel, nadhani ilikuwa Famous noise ile. ghafla jamaa akaingiza kidole chake kwenye nyeti za mkewe ndipo mkewe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakubwa naomba mnisaidie kujibu swali hili baada ya mifano michache ifuatayo anakupenda unampenda kwa hiyo mnapendana unamheshimu anakuheshimu kwa hiyo mnaheshimiana anakutii unamtii kwa hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Duuuhh...!! Dunia hiii... jana Sinza, movie ya bure, ngumi mkononi, jamaa kafumwa akitafuna mke wa mtu, eti watu nao wakamfukuza mwizi wa mke wa mtu na kumpa kipondooo, jamaa nyanga nyanga, katoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inaonekana kuwa sumu aliyopewa balali na mfanyabiashara mwenye asili ya Asia, inawezekana kuwa ni ileile aliyowekewa Mwakyembe, kama ni hivyo basi bado ipo kwenye ghala. Nani atafuata? tutegemee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namini asilimia kubwa ya waJF ni wapiganaji walioko mwituni katika nchi yetu hii iliyojaa machungu na mateso kila siku. Kama ingetokea ukapewa nafasi ya kugombea au ya kuwa raisi ungekuja na sera...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
...unaweza kuwa uliishaisikia lakini si vibaya kukumbushia. Muuzaji: Samahani kaka hairuhusiwi kuvuta sigara hapa dukani. Mteja: Nikavutie wapi?...mbona sigara nimenunua hapahapa? Muuzaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Masai akiwa kwenye duka moja la vifaa mchanganyiko. MASAI : Nipe ile iko nakulana na mwensie ! MUUZAJI : Nini shoka ? MASAI : Hapana shoka [choka],iko natoka hapo karibu tu ! MUUZAJI ...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ankaa mekoni alia Nyauuu~~~~~nyauuu~~~~~~nyauuuu~~~~~~~ Hebu nipeni jibu, au mnipe mji.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Hellow wanajf,I hope wote mko poa kabisa baada ya sikukuu ya xmas. Sasa kuna ofa kabambe ya mwaka mpya.Kwa yeyote anaetaka kampani yangu siku hiyo aniPM haraka iwezekanavyo ili aweze kupata namba...
0 Reactions
84 Replies
5K Views
Ungekuwa wewe ungefanyeje? Kutokana na ukware wako unamuaga mkeo kuwa hutarudi nyumbani mana umetingwa na kazi ofisini kumbe sio. Jioni inafika unaendagesti na kukodi chumba, kisha unamuagiza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hebu taja bitozi yeyote au sista du yeyote, awe mwana muziki au mcheza sinema za kibongo, kwa nini hawabandiki mitandao ya kijamii picha za nyumbani kwao ili tuone maisha yao halisi ikiwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The husband and his wife were not on good terms. In fact, the wife was convinced that he was carrying on with the pretty housemaid, so she laid a trap. One evening she suddenly sent the maid home...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kuanza na vitu vipya. 1.nguo mpya. 2.maisha mapya. 3.Kazi mpya. 4.mpenzi mpya. 5....... 6....... Au wewe msemo wa mwaka na mambo mpya unauelewaje?!!?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Huu mjengo pembeni ya Sam Nujoma Road unambwembwe zake ukiingia mle ndani watu wanabehave kama vile si watz, kama vile hii nchi haina matatizo (umeme) watu wanaspeak kwa Swaga balaa..mara "you...
4 Reactions
111 Replies
11K Views
ZERO:Haya bwana chezo,panda mpaka ngazi ya juu kabisa(50m high) halafu ujirushe kwenye swimming pool.>>>>>>>> (BWANA CHEZO):Lakini mimi sijui kuogelea! (ZERO):Ondoa hofu,swimming pool yenyewe maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom