Lilihusisha watu watatu MWAFRIKA, MZUNGU na MUHINDI. Akaanza kujamba mwafrika amewekewa mic duh mpaka tilles zikapasuka watu wakashangilia sana ikaja zamu ya mzungu alijamba mpaka vioo vya magari...
Hata tupindishe vipi lakini ukweli unabaki palepale ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, kwa hili naanza rasmi kuikubali hii redio, uzalendo ndio huo bana, Big Up kwa hili inapendeza.
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.
Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu...
Wandugu kama hujanunua gari fanya fasta usije kupata namba za aibu kama;-
-T325 UKE
-T268 UCH
-T452 TIA
-T128 VUZ
-T169 SEX
-T694 MBO
-T900 MAV
n.k
:rant:
WanaJF,ni muda mrefu tangu aliyekuwa waziri mkuu wa Israel bwana Ariel Sharon, augue ugonjwa wa kiharusi,sijapata kusikia anaendelea vp. Vp kuna taarifa zozote kumuhusu? Plz mwenye taarifa...
Hivi kwa nini watu wanaoshinda nyumbani kila siku hujiona wao wana haki ya kuangalia vipindi watakavyo kwenye Tv na kusikiliza wapendacho redioni?
ukitoka kazini ukataka kubadili wanakuona...
Wadau nimekua najiuliza sana hili swali kila siku..mana humu ndani tunajuana kwa ID tu na wengi hatujuani majina halisi..hivi mfano member mmoja wetu akatutoka kuna any means ya kujua na kutoa...
(JAMAA#1):Rafiki yangu,hivi kwanini unapenda kutembea na wanawake ambao sio wa hadhi yako?huoni kama unajidhalilisha? (JAMAA#2):Ina maana hata mkeo sio wa hadhi yangu?
Ticha wa std 1 ka..amba class wanafunzi wakaanza kucheka ticha kuua soo kaua kipindi sasa next periodi
ticha:tuliishia wapi kipindi kilichopita?
Wanafunzi:pale ulipojamba mwalimu!
jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh
nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
Jambazi mmoja aliingia kanisani akiwa na bunduki mkonon,akasema,''haya wanaosema wanampenda yesu wabaki humu wasiompenda watoke nje,ndani akabaki mchungaji na wazee.''jambazi akamgeukia mchungaji...
Chuga =kwa wahaya utaonekana kituko!
Casino=akina mama wakihaya watafunika nyuso zao
Rutba=Kwa wenzetu wa kanda ya Ngara kigoma watazimia!!
Endeleza na wewe.....
Madadiito na mamamiito,
Kikao cha weekend hii wapi?
upande wangu mfuko hauko sawa.
Nataka ningalie wenye kikao karibu na Home niwapige mzinga.
Bebii, wherever you are. Please nipe Mchongo-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.