Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum.
Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno!
Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote...
masikini wengi hapa nchini waliposikia kuwa kutakuwa na mgao wa umeme nchi nzima walifurahi sana na kuipongeza serikali ya Jk kwamba kweli selikali imeamua kutujar yaani sasa kila mwananch...
hivi lile tangazo la taulo za kinamama linalorushwa na TBC1 kabla ya taarifa ya habari ya saambili usiku je ? linafundisha maadili mema ktk jamii kulingana na mila na desturi zetu za kitanzania...
Teacher: what's wrong?
Johnny : our house is very small, Me, my mum and my dad, all sleep in the same bed. Every nyt my dad asks if I'm sleeping,
I say No then he slaps my face & gives me a Black...
I just love this day!!
You know why. I have two days of not seeing the face of this Ugly person I call my Boss.
I just hate his face.
Its manu u vs Bolton.
Jamani wana JF naomba ufafanuzi hii statment ya taifa changa toka tunapata uhuru now ni miaka 50 bado tuajiita taifa changa. Mi nadhani hili taifa ni mbilikimo tu but si changa tena or labda tuna...
Women: How To Turn Men Down
HE : Can I buy you a drink?
SHE : Actually Id rather have the money.
HE : Im a photographer. Ive been looking for a face like yours.
SHE : Im a plastic surgeon...
Habari wana JF….
If you are to be granted lolote lile utakalo katika Maisha
Yako.... Kitu gani waweza taka Most... Ambacho unajua
Ukisha kipata utaridhika daima... Naomba tafadhali...
KULIKUA NA WANANDOA YANI MKE NA MME.SASA MWANAMME AKAWA NASHAISHANAA AU NAWEZA SEMA KUIKODOLEA MACHO MARRIEGE CERTITICET(CHETI CHA NDOA) then mwanamke akasema."mumu wangu,kulikoni..mbona...
Kwa mwanaJF aliyepo Comoro au aliyewahi kufika, naomba anipe maelezo ya usafiri, malazi n.k. Ninataka kwenda kwa ajili ya mapumziko, Nimejaribu kugoogle lakini usafiri niliouona wa kutoka Dar ni...
Mmetuletea mgao wa maji tumekubali,mgao wa umeme tumezoea,na sasa mgao wa mafuta tumekubali,lakini chonde chonde msije mkatuletea na mgao wa pombe na ngono!......hapo atutaelewana kabisa...
ID: Paw
Sababu: Kumkashifu Invisible
Duration: Life
===========
ID: PainKiller
Sababu: Kumzushia Uongo Mzee Mwanakijiji
Duration: Mpaka Mpangaji Wa Magogoni amalize muda wake au afukuzwe na...
Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.
A baby was born at st Ann's hospital laughing lyk crazy.The doctors noticed the baby was holding something in his tiny hands.They carefully pulled his tiny fingers apart and found an ABORTION...
kuna demu nampenda, basi bila hiana nikamtokea, jibu alilonipa ni kwamba ana mtu lakini mimi sikuamin kama kweli ana mtu nikaendelea kumsumbua lakini msimamo wake ni huo huo.
ajabu uwa natoka...
These are from a book called Disorder in the American Courts, and are things people actually said in court, word for word , taken down and now published by court reporters who had the torment of...
Mwalimu mmoja alienda shule moja ya kijijini kusimamia mitihani.Alipokuwa akiendelea na zoezi la usimamizi,alishangaa wanafunzi wote wametulia attention bila kuandika chochote.Mara ukasikika...