JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mniwie radhi wakuu nimekuja kwa Anko hapa Mwanza nikaona hiki kidubwana kwenye Tv ningemwambia Anko ninawish kukipanda akaniambia ofisini kwao kipo atanipeleka kesho saa 10 jioni Naomba mawazo...
0 Reactions
4 Replies
577 Views
Habari wakuu Ulijihisi vipi ulipotakiwa kumuacha aende mtu uliempenda sana akakuingia mpaka mishipani.
1 Reactions
15 Replies
830 Views
Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Jf Tulipokuwa watoto tulinyonya fluids toka tumboni in the womb tulipozaliwa tulinyonya kimiminika lactogen ya binadamu toka kwenye matiti. Kuna mwenye hoja zaidi tukizingatia binadamu...
2 Reactions
12 Replies
759 Views
guest-1793390367
Umeamka zako asubuhi unakutana na meseji kutoka kwa mpenzi wako anakwambia" Kuanzia leo mimi na wewe basi "......Utamjibu nini?[emoji31][emoji31]
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Asalaam alyeikum wana wa sensa..? Hii dunia inamambo na watu wa kila namna, wengine sijui tujiweke kundi la namna gani..! Weekend fulani hivi tulivu,mida ya saa sita usiku nilikuwa bar fulani...
5 Reactions
4 Replies
984 Views
Wasalaam.... Naona makarani wanapiga chenga za kututembelea wakat tumewapikia na diko kabsa wasije kusingizia njaa, Binafsi kama mimi mzaliwa wa tanzania mwenyeji na mkazi wa R-chuga nlipenda niwe...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
0 Reactions
2 Replies
536 Views
guest-1793390367
Sema tu ukweli wako usiogope, Eti ni kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu kumbe huna....?[emoji41][emoji41]
0 Reactions
7 Replies
613 Views
Siku ya inspection niliambiwa niinue locker ambalo lilikuwa fixed, tulikuwa hatujui basi tulikuwa watatu, jamaa wanatuambia wanyanyueni tunataka kufanya usafi hapo chini. Tukajipinda daah! Mwisho...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
guest-1793390367
Tujuane mikoa tunayoishi.....ukipata mwenzako msalimie[emoji12]
0 Reactions
34 Replies
1K Views
guest-1793390367
Ukipewa elfu 10 halafu halafu uambiwe umpe kila ex wako elfu moja, utabakiwa na kiasi gani? Kila mtu aseme ukweli.....[emoji23][emoji119]
0 Reactions
7 Replies
500 Views
guest-1793390367
Wewe ni mtoto wangapi kwenu? 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10? Ukipata mwenzako mjulie hali....[emoji849][emoji849]
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Jamani nijuzeni mbinu ya kupata wachangiaji na likes nyingi jf endapo nitapost uzi wangu...tatamani kupata comment nyingi hata kumpita @rikboy kwenye ule uzi wake. Nijuzeni jamani mimi ni mgeni...
1 Reactions
4 Replies
488 Views
Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari ndugu wanaJF, Kwa Leo naomba nianze na Visa viwili, Ingawa vipo vingi nilivyoshuhudia kuhusu watu kukosa uaminifu kutokana na mambo ya fedha, 1.mwaka 2004 nikiwa chuoni wilaya fulani...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Happy coding.
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Amani ya mola iwe juu yenu nyoote. Ni jumapili tulivu kabisa yenye kila dalili ya kuwa siku njema na hali ya hewa ya kupendeza. Nawakaribisha kwenye mchuano huu mkali wa hoja na kunadi Sera zao...
10 Reactions
798 Replies
69K Views
Hello wakuu, Habari ya weekend, hivi ni taarifa gani nzuri ulishawahi kupata ukaishia kumshukuru Muumba, Mimi nakumbuka kwenye matokeo ya std 7 st Kayumba, nilichaguliwa kidato cha kwanza kwenda...
19 Reactions
68 Replies
4K Views
Back
Top Bottom