JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
1 Reactions
5 Replies
852 Views
"Fifa huniwezi bro" "Mshikaji wangu katoboa kwa forex" "kidimbwi michoro" "Klopp kocha" "Kilimo cha tikiti kinalipa sana" "Nina mwanangu yupo china" "Mondi sahiv anaandikiwa na mbosso"...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine. Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
4 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Amani ya bwana iwe nanyi nyote! [emoji137] Guys, once upon a time milongo kadhaa ilopita alizaliwa mwanaume mmoja makini, mtanashati na matttatta sanaaaaaaa. Hendisamu boi huyo siku kama ya leo...
14 Reactions
43 Replies
4K Views
Sina mengi ila chukua coca moja na beer Guinness smooth mbili, hautajutia kamwe ni raha sana. Wachache watanielewa, sitaongeza nyama tujiongeza kula vizuri kunywa kiasi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mi nimeanzisha uzi wangu nizungumzie mambo yangu mwenyewe, sasa shida iko wapi mnafuta? mod muache kuchukulia mambo sirias
0 Reactions
17 Replies
663 Views
Nina mda sasa natumia simu zangu bila kuweka kava yani inafika wakati naona kama kuweka kava ni ushamba flani. Imagine watu wamekaa Apple huko wame design product yao wamekubaliana na muonekano...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, kuna kademu kanapenda sana kuwasiliana na mimi japo kana mtu wake, ila kanapenda sana kunipigia pigia. Mara kanipige pige mabusu kwenye simu, sasa ni rafiki tu ananiambia yeye hawezi kuwa...
1 Reactions
13 Replies
596 Views
Leo nipo job hapa hamna kazi, mizigo imechelewa kutoka bandarini so leo kuchat tu..Sasa nikawa nawaza hivi binadamu tungekuwa tumegawanyika kama ilivyo weusi na weuspe katika muktadha wa kwenda...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Rafiki yangu nakupa ukweli japo ukitaka kuupinga Basi yes upinge kwa hapa town nimefanya tafiti wanywa bia wengi wa bar wanauza mwandu. Labda ubahatike mke anayekunywea nyumbani ila akienda bar...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Dark humor is a style of comedy that makes light of subject matter that is generally considered taboo, particularly subjects that are normally considered serious or painful to discuss. Writers...
6 Reactions
138 Replies
5K Views
Iko hivi, wanawake wengi wanamiliki wanaume wawili, Mwanaume wa pili anajua Kabisa kuwa huyo demu ana Mshikaji wake anakula pale (mpenzi, mchumba au mume), ila yule Mwamba wa kwanza anajua Yuko...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamani natafuta mchumba kuanzia miaka 20~22 anaejielewa.
0 Reactions
2 Replies
408 Views
Unaesoma post hii wewe ni mbwa koko
0 Reactions
2 Replies
424 Views
Wakuu Salama humu ndani. Nimekuwa member humu ndani ya JamiiForums kwa miaka Mingi na huwa najivunia Sana kuwa nimejifunza Mambo mengi Sana na kutatua migogoro Mingi ya kiimani, Kisheria na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna wadada kipindi nipo mdogo nilikuwa natamani saana kukutana nao live na wengine nilikuwa natamani saana kula njegere zao kabisa Ila nashukuru kuna ambao nimekutana nao na wengine nimekula...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa kati ya hao masterplans nani unaweza kumuamini ili akutoroshe sehemu ulipo? Njoo utuambie
0 Reactions
18 Replies
743 Views
Huu ni uzi tofauti kidogo ..! Kama wewe ni mpenzi wa vikaragosi na nukuu kwenye ulimwengu wa nyota karibu Mdigo twende kazi
5 Reactions
417 Replies
21K Views
Habari wana JF.Addiction kwa kiswahili imenitoka kidogo. Ila nathubutu kusema nimeathiriwa na mitandao ya kijamii yaani hata mwaka hujapita toka nimeijua JF Ila sasa imeshaniathiri yaani muda...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom