JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Duuh yani baadhi ya vitu ni ngumu kuamini kuwa kuviacha ni janga la koo na ulimi soda ni moja ya vinywaji pendwa kwa watu ila baadhi ya watu wanashindwa kujitambua kuwa imeadhiri mfumo wao wa...
5 Reactions
90 Replies
6K Views
Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
8 Reactions
77 Replies
9K Views
Wakuu salaaam!! Straight to the point katika maisha ni bora sana ukiwafahamu watu tofauti ubaokutana nao katika shughuli mbalimbali za kimaisha... Binafsi katika swala la makabila napenda kujua...
1 Reactions
109 Replies
28K Views
Mada ipo wazi tuambie unatumia kiswaswadu gani na "mama yake" smart gani? Naanza mwenyewe Smart phone ni Samsung Note9 na kiswaswadu ni Nokia 3310
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER [emoji1662][emoji1662][emoji1662] T 712 DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI [emoji1631][emoji1631] za DAR - MBEYA - TUNDUMA Ametrend sana wiki hii akiwa na...
41 Reactions
429 Replies
52K Views
Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Katika kutekeleza kauli ya Waziri wa Fedha, ya kututaka tuhamie Burundi kama hatuwezi kulipa tozo za miamala ya simu, jina lako la Burundi unaitwa nani? Mimi naitwa Renzoimana Barberashimiye.
18 Reactions
159 Replies
12K Views
Kama hutumii dodoki na kijiwe asee hutakati. Ni sawa tu na kunyeeshewa na mvua.
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari! Sina maelezo mengi. Naomba tu kuuliza. Inakuwaje kijana anakunywa pombe na wengine huvuta na sigara juu?
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimekuwa napata shida sana. Hasa unaenda toilet ambayo haina tishu zaidi ya maji tu. Siku moja nikatawaza nivaa suruali nikaenda kukaa, baada ya muda nikajikuta suruali imelowa na yale majimaji...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Hebu fikiria chupi imefuliwa hali yake ndio ivyo. Je huyo mwenye chupi anafananaje. We fikiria tu baadae ohh kimoja chali utapataje mood kwa msichana mchafu.
1 Reactions
4 Replies
817 Views
Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏 Ndiyo hivyo🤜
32 Reactions
82 Replies
7K Views
Wakuuuu poleni na majukum. Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam . Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Wakuuu poleni na majukumu. Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Ndugu wapendwa huu uzi hauna maneno mengi ila mwenye macho haambiwi tazama.
4 Reactions
12 Replies
756 Views
Sijui pesa kuenda wapi,sina michepuko nina kagari na kapikipiki tu basi Gunyumba hagujaisha kujenga Je wewe ulishawahi kuishiwa kiasi cha kuona kizunguzungu halaf hata wa kumkopa kumkosa ?yaan...
3 Reactions
88 Replies
9K Views
Mko poa unakutana na manzi unampenda Sana unampa mahitaji yote Ila mechi hupewi lakin hapo hapo Kuna mchizi anakula free bila kutoa kitu imemtokea mwanangu mmoja
0 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu habari? Nategemea kwa kibali cha Allah nitakuwa na safari ya Newala toka jiji la Makala. Je, ni mabasi yapi mazuri yanakwenda huko? Nauli kiasi gani? Temeke sudan yapo? Ahsanteni sana wote
1 Reactions
4 Replies
421 Views
Najua wanakwaya mtakuwa mmesharudi nyumbani baada ya ibada makanisani!hii pia unawahusu wale wote tulio wahi kuwa wanakwaya makanisani,tuka -staafu,staafishwa,fukuzwa nk ! Nahata washabiki na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mahitaji makubwa kipato kidogo Dili zinagoma unaamua kutulia tu How do you handle this fellows
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…