JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana. Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana...
25 Reactions
507 Replies
33K Views
Wakuu salam, Naomba kufahamishwa ni sehemu gani sahihi kukutana na mpenzi wako kwa mara ya kwanza? Ambayo wote mtakuwa comfortable na kuji feel secure? Je, ni bar? Mgahawani? Nyumbani kwa...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Jumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama. Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location Upo wapi saivi...
5 Reactions
140 Replies
9K Views
Nyanja: Mahusiano (tukio siyo halisi) Mjaluo Mwl. James Okulo NyakwarChanga wa Kowak (a.k.a Home of Intellectuals) Rorya na Mhaya Rugumamu Ruguyamheto Rutabanzibwa wa Rubya wanalewa kwenye...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
1. Usiingilie wala kuamulia ugomvi wa watu hasa wa mwanaume na mwanamke. 2. Usiingilie na kucomment mazungumzo ya watu usiowajua. 3. Usiwe unatoatoa ofa hovyo. siku ukipigika utaona aibu kwenda...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, wewe mdau wa JF upo kundi gani? Bata: Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa. Bundi: Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote...
1 Reactions
0 Replies
668 Views
Je ni baa gani zenye mademu wazuri ambao unaweza kuondoka nao wakati wowote mradi makubaliano? Ka vipi naoa kabisa
1 Reactions
174 Replies
50K Views
Jaji: wakili upande wa utetezi mpo tayari kuhoji? Kibatala : nipo tayari Jaji.. Wakili kibatala anaanza kuhoji. Kibatala: shahidi umekula? Shahidi: sijala Jaji: embu mpeni shahidi chapati na...
3 Reactions
4 Replies
874 Views
HOME | WHAT IS GPS? | GPS DEVICES | COMPANY BENEFITS GSM mobile phone tracking system...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Leo Club yetu pendwa (Temu ya wananchi) Dar es salaam Young African itashuka dimbani kuchuana na Rivers United. Lolote linaweza kutokea wakati wowote. Yanga ipo na inaua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wanaJamiiForums. Poleni na majukumu na hongereni pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki. Lengo la Uzi huu ni kumtakia tu yeyote umpendaye usiku mwema Cha kufanya, tag yeyote umpendaye...
5 Reactions
305 Replies
18K Views
Habari za muda huu Wana Jf! Dunia hii imejawa na changamoto mbalimbali lakini leo tuongee kuhusu kusingiziwa Mambo ya aibu. Karibu tushee uzoefu huo na jinsi gani uli-recover. Binafsi mwaka...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Je, utafanya nini endapo sehemu unayofanya kazi jamii inakuhisi wewe ni TISS na huku hata mshahara wa TISS huujui, na hakuna evidence -- kila mtu anasema amesikia kwa watu?
5 Reactions
52 Replies
7K Views
"Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
nilikuwa naonaga wivu sana nikionaga watu waapiga miluzi kila nikijaribu siwezi mpo disco zinapigwa ngoma Kali unasikia wahuni wanapiga miluzi Pye pyeeeeeee mpaka raha ila nikirajibugi siwezagi...
2 Reactions
13 Replies
847 Views
Habari wadau, Recently nimepata kimuhemuhe cha kutaka kutembelea DRC(sio kwa biashara ila ni kwa ajili ya utalii uchwara) Nifanye road trip mpaka nitokee upande wa pili wa nchi kule kwenye...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Habarini wakuu leo naingia Musoma mjini hapo mpaka sasa ndio nipo Igoma Mwanza nategemea kuingia saa 3 hivi nipo na private car Naomba kuelekezwa Hotel nzuri za kulala bajeti yangu 40,000/=na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mda huu? Naomba kuuliza kwa wale ndugu zangu wapenda Tungi siku ya Kwanza kununua beer unywe Ulijiskiaje? achana na mwanzo za kujifunzia za sherehe siku ya Kwanza kutoa pesa mfukoni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…