Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli.
Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
Nawapenda Sana simchukii mtu hata mmoja kwa sababu nawajua member watatu tu katika jamiiforum.kuna mabadiliko nayotaka kuyafanya Hapa ulimwenguni yakihusisha Zaidi maisha yangu ya kiroho, kimwili...
Wakuu,
Hapo mwanzo na hata nilipokuwa mdogo, nilikuwa nikipenda sana kushehereka birthday kila ninapotimiza miaka fulani, (siku ya kuzaliwa)
Lakini kadri umri unavyokwemda unakuja kugundua ni...
Nashangaa Sana vijana wenzangu ambao mnaogopa kuoa wanawake wa kileo wawasaidie kazi za home Kama vile kufua nguo ili nyie mpate muda wa kusaka hela huko kitaa mnafeli wapi ndugu zangu hivi kweli...
Wakuu leo asubuhi nilikuwa na hamu na zaga sasa nikamcheki mtoto akasema jioni jioni atakuja.
Si ndio kuja kuingia JF kukutana na mastori ya town eti Kodi ya uzalendo aisee roho ikapasuka nahisi...
Tangu hii baridi ianze sijaona wale ma toxic female feminists wakisema kwa status zao eti men are trash, ama all men are dogs.... i guess sahii men wamekua blanketi ama duvet...
Even if who you...
Wadau kwema,
Ni ipi best ring tone song yako ambayo kunamda unapigiwa yani mpaka unatamani hata uache simu iite kwa muda kidogo ndo upokee yani[emoji16]
Hivi ni kwly?
Inasemekana wadada wanatabia tofauti katika mapenzi kulingana maumbo ya miili yao
(1): WASICHANA wafupi wanaongoza kwa WIVU wa MAPENZI na kuwajali wapenzi wao''
(2):WASICHANA...
Habari wakuu nawasalimia kwa jina la jamhuri😂😂😂😂
Sasa bhana iko hivi katika dunia ya sasa kuna sehemu naona kuna tofauti fulani ambayo na ngumu kuikuta mahali pengine tofauti na humu jamvini...
Utafiti wangu usio rasmi nimekuja gundua kwa miaka inavyozidi kwenda watanzania wamekuwa watu wa kughadhibika sana. Jambo dogo tu hata lisilohitaji kutumia hasira mtu anaweza kukuwakia ukikaa...
Ukimuona bodaboda amening'iniza kamguu pembeni na visendo Halafu amekalia tako moja usipande!!
Halafu anakuwa amevaa kipensi cha jeans , tunywele amesuka rasta huku bodaboda inapiga mziki wa...
Si niwe tu mtu wa MUNGU serious niwe naongea mambo ya MUNGU ili niombe neema nipate uwezo wa kutoa maono Kisha nyie member muwe mnakuja mnanitembelea kuja kunisikiliza maarifa ya Siri au nikija...
Habari.
Binafsi mdada akivaa wigi namshusha viwango. Sometimes nafika mbali, namuona kama mtu asiyejiamini, asiyejielewa na mwenye tatizo.
Vitu artificial viko vingi ila kwa mawigi hapo mmezidi.
Wakuuu baada ya mishe mishe tukiwa tumejipoza Jf tujaribu kutaniana kidogo.
Utani Unaweza kua wa;
Mtu na mtu, kabila, kanda, dini, Rangi, Kimo na hata elimu.
Ila kuchukia haitakiwi.
Kijana Ukisikia hii kauli toka nduki. Mzinga ndo unafuata....kina Dada mmezidi asee. Fanyeni kazi, "supa wuman" Ni pamoja na kufanya kazi halali sio huu uharamia mnaofanya sasa. Full mizinga...
Mbona kuwa tajiri Ni kazi rahisi sana yaani Tanzania nzima nashindwa nini kuwaomba Wananchi laki moja tu kwa wastani kila mkoa niombe watu 3000.
Wengine unawafanyia kazi ndogo wakikupa tu hela...