JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natafakari hichi kizazi kikiisha nini kitaendelea? maana vijana wa kuanzia 1991 mpaka sasa akili yao wanajua wenyewe 1975-1990 Ndio kizazi cha manufaa maendeleo Tanzania ndio kizazi...
0 Reactions
2 Replies
613 Views
1988 ni mwaka nilio zaliwa :):) na hii ni post yangu ya 1988 hapa JAMII FORUM :):) hongera kwangu:):):)
1 Reactions
7 Replies
834 Views
Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata...
18 Reactions
498 Replies
25K Views
Kuna mambo huwa tunajikuta tunayajua tu bila kufundishwa na mtu au bila kuyaona sehemu yoyote..., mfano Kufanya mapenzi,sidhani kama kuna mtu alifundishwa hili,achana na yale maujuzi tunayokuja...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Hili swali nashindwaga kujijibu Hivi kwanini wabongo kuna wengi sana ni wanafiki wakiwa nyusoni mwa watu lakini kwenye mioyo yao ni tofauti?? Huu unafiki wa sitaki( akiwa public na akiongea na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii video imenichekesha sana nimeona niishee humu😂
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenye kujua kuchora...
6 Reactions
122 Replies
9K Views
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini. Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za...
5 Reactions
162 Replies
11K Views
Naomba mwenye nyimbo ya Anord Schwarzenegger aliyoimba na bahati bukuku anitumie kwa tigopesa
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Mnalalamika sana humu majukwaani kua tunafunga PM au mkija hatuwajibu,ndiyo wengine wamefunga PM wengine mkija hatuwajibu kwa sababu kuu zifuatazo; Kabla ya kutoa sababu mods huku ni chitchat...
43 Reactions
2K Replies
70K Views
WATUMISHI WENGI TANZANIA WANATARAJIA KUPANDA MADARAJA KATI YA MWEZI AGOSTI NA SEPTEMBA 2018 BAADA YA KUSUBIRIA SIKU NYINGI. Baada ya ufuatiliaji wa kina imegundulika kuwa watumishi wengi...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single. Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf. Pia ni kuwasaidia wale...
5 Reactions
185 Replies
9K Views
Kwa nini mwanamke akifiwa mume na akaachiwa biashara au miradi mikubwa kwa nini miradi hufa mapema na kama mwanamke amejitahidi sana kusimamia hata miaka 5 haifiki Na yawezekana mwanamke alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za majukumu wakuu... Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu.. Nimeamua kuacha kuitumia fb kwa sababu zifutazo... [emoji117]Inanishawishi kupiga punyeto Nasema hivi kwakua nadate...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kuwajulia hali nyote mlio online na mkawa mmkosa usingizi kama mimi, hii Tz ni kubwa mno! je, waweza amini nilipo mimi siku zote hakuna hata mbu mmoja!?huku kwetu ukimuona kiumbe huyo ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kulala fofofoo kwenye chumba/geto la Demu watu wengine kifo wanajitakia!
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Kweli tembea uyaone ! Siwezi kudanganya mimi The only ni mwana muungwana ,kwa macho yangu Nilienda hivi karibuni Mkoani Kigoma sasa kazi iliyonipeleka ikawa kuna wakongo nawasubiri niwaunge...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Manjano manjano no no, no smocking ki King majuto to .................
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna wanaume anapokuwa anakuaproach utadhani anayoyasema ni ya kweli Juzi moja nikakutana na mkaka , kama kawaida akaanza swaga nikamwambia nipe muda kidogo nichanganue maneno yako Leo nikawa...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Dah huyu sikujua hata nimjibu vp
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…