Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life.
Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila...
MEN, LET'S CLARIFY THIS FINALLY:
When you marry a woman,
Her mother becomes your mother-in-LAW,
Her father becomes your father-in-LAW,
Her brother becomes your brother-in-LAW,
Her sister...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Naweza tu kusema kuwa inasikitisha ile mbaya sana baada ya jana kufika dar nikitoka shule nilishangaa mwenyewe
Ile nafika mitaa ya sinza kwa remy...
Wakuu mmeamkaje,
Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run"...
Leo Katika Pitapita Zangu Nakutana Nikapita Sehemu Kichocholoni Nikasikia Demu Flani Anamwambia Kidume Flani ***hivi
Et, Niache Kumukubali Naniliii...... Bishooo! Nije Ku,kubali Wewe...
Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo
Natulia kama nanyolewa naipenda sana!
Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehem, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka...
Kichwa cha habari chahusika
kwangu mimi
1. Mwanamke kuvaa wigi
2. kupenda wanawake wenye makalio makubwa
3. Kushabikia timu za ulaya mpaka watu wanauana wakati haitatokea hata kwa bahati mbaya...
Wale wote tusio na magari ya kutembelea hapa mjini na mikoani tukutane hapa!
Tuelezane changamoto na faida tuzipatazo tunapotumia public transport hususani daladala
Kwangu mimi kero ni kujazana...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
Moja kati ya michapio ambayo nimewahi kuisikia kutoka sehemu Mbalimbali huu ni Kiboko yao....
...Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na njaa sana asa ikabidi tuende kununua Kibanda cha chipsi,Me...
Hivi naandika huu Uzi kuna Mtu mmoja sasa nimemsindikiza kumpeleka kupata huduma ya Kwanza baada ya kupata Kipigo cha Shalubela / Hatari kutoka kwa Mtu ambaye alimtania na lile neno ambalo huwa...