JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Inasemekana kwamba Kenya wamezindua ' Kifaa ' maalum ambacho kinaweza kumjua Mtu Muongo sekunde, dakika na saa yoyote ile na kwa jinsi Watanzania wenyewe wa ' Kada ' mbalimbali tunavyojijua ni '...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
"Kupenda mtu asiekupenda ni matumizi mabaya ya moyo" eti unamzimia utajikuta makaburini Nyambafuuuuu
0 Reactions
7 Replies
949 Views
Baada ya kuimisi kwa muda mrefu kidogo jamiiforums na member waliomo humu nilihitaji nije na nyuzi nadhimu kabisa lakini kutokana na muda nitakuleteeni hapo kesho kunapo majaliwa yake mungu...
0 Reactions
4 Replies
700 Views
We have updated our privacy policy [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Deleted member 485868
Habari zenu wana Jf Nianze na mkasa ulionikuta jana..mida flani hivi nilienda kariakoo na Dada yangu..katika mizunguko yetu yeye alikua mbele mimi nyuma Sasa si mwajua kariakoo ilivyo na watu...
16 Reactions
313 Replies
16K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Nazan wote mko wazima wa afya njema Siku ya tarehe7 may ndo siku ambayo nilizaliwa huko kanda ya ziwa mwanza Lakin tarehe tano ilipita maana nilikuwa shule...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Assalam ndugu wa humu JF Rejea kicha cha habari hapo juu Nimeona bora tuhusishane kwa yale mazuri tuliyojifunza kuanzia asubuhi mpaka mda huu Ili tuweze kuongeza na kubadilishana maarifa Mimi...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kupenda mtu asiyekupenda ni matumizi mabaya ya moyo tena ufujaji. Eti namzimikia utajikuta makaburini, acha bangi wee teja Nyambafuuuuuuuuuu
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Wana JF kama ushawahi kuhisi seat yako ya moto kaa na mtu amevimbewa na mbaya zaidi anabeua harufu mbaya kama vile tumboni kumetokea muozo wa siku nne utakoma kuwepo pale na ukitaka kujua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele! Mnatudhalilisha. Vv
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wanajamvi najua wenye kufuturi teyari mmeshafutuli,na wengine mmepumzika wengine mnajifanyia shughuli mbali mbali. Tuende moja kwa moja katika mada kama inavyojieleza; Naanza na Mimi...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania. Kusheherekea ni...
20 Reactions
83 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanaume Tunapokojoa mkojo,Mkojo unakaribia kuisha inatokea hali mwili kusisimka.... UNAIELEWAJE HII HALI? [emoji769]Twp
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwenzenu napenda magari. Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo! Mshana Jr - Buggati Veyron supersport Hajar - Ferrari Shunie - Zenvo SIT Mzigua90 - Aston Martin one Mr Miller - Honda fit...
17 Reactions
522 Replies
22K Views
HONGERENI SANA NA MUMSHUKURU MUNGU KUWAPENDELEA DONDOSHA PICHA ZA WACHAGGA WAREMBO ZAIDI
6 Reactions
143 Replies
13K Views
Mapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
*WAHAYA kwa kujisifia imepitiliza,leo nimeskia hii Matangazo ya vifo.Ndugu Datius Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Sophia Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana America...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom