Napenda kufahamu ni upi muda sahihi/mzuri wa kupima afya zenu kwa wapenzi, je ni kabla ya mwanamke au mwanaume kumkubalia kwenye mahusiano, au ni baada ya kuwa kwenye mahusiano na sasa wanataka...
Unamkaribisha mtu ndani kwako anaanza tv nzuri umenunua wapi na mimi nikainunue kochi zuri na mimi lazima nilinunue, mwingine utasikia nguo hii nzuri umenunua wapi na mimi niinunue. Hii pia iko...
Kuna mambo mengine ni madogo sana lakini yanaweza kukufanya ukose confidence kabisa kwenye public.
Hizi wallet kwa kawaida hua ni maalum kwa kutunzia fedha. Lakini ukiangalia muundo wake utaona...
Hamna kitu kinanikera kama
“nakuona online”,
“[emoji848] blue tick no reply”,
“mzee baba unasoma meseji zangu hujibu”
Ninaudhika sana hivyo nimeamua sitaki tena whatsapp tuma meseji ya...
I can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu,
Hatua ya kwanza: Chukua namba yoyote kati ya 1-9, yani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1, chukua namba yoyote moja tu kati ya...
Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500
Lakini siku hizi...
Jana ngoma za Ali Kiba zilipigwa masaa sita mfululizo kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 alfajiri.
Ali Kiba alipoulizwa nini maoni yake alisema " nnilijua lazima tu wapige ngoma,kibongo Bongo...
Imani kwamba kitu kipo, wakati hakipo, inaweza kukuua.1.Ukijua kuwa hujui, unajua ama hujui? Kama atheism ni imani, basi kipara ni staili ya kusuka nywele!
2.
Hakuna mjadala kwamba watu wapo. Au...
Tilapia ni samaki wa maji baridi, Samaki huyu ana minofu na nyama nyingi hasa akiachwa awe mkubwa.
1. Tilapia anaweza kubanikwa akaliwa na salad tu hasa kwa wale watu wa diet
2. Anaweza...
Nilikuwa somewhere stationery natoa photocopy then Mara ghafla kaingia demu mrembo wa haja nae kupata huduma stationery, jumla tukawa watatu mule ndani..Mimi na mhudumu pamoja na demu mwenye...
Alikiba kamuoa Zati make wa pili...
Diamond kamuoa Rihanna..
Rayvanny kamuoa Hamisa. .
Harmonize kamuoa Wema...
Esma kawa Msemaji wa Chadema...
Mama dangote kawa Waziri Wa Habari
Rugeee Kawa Mpiga...
You are slim, your girlfriend is slim, when you both are walking and holding hands, you will be looking like capital letter "H" [emoji23]
Maybe one day women will text each other " Come with men...
The only white man you can trust is a dead white man
So, Blair keep your England, and let me keep my Zimbabwe.
Don't drink at all, don't smoke, you must exercise and eat vegetables and fruit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.