Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea...
Serious mm sina mpango wa kuoa Kabsa..yaani chapa ilale mpka nafika jioni yangu freshi.
Ninaye mtoto wa Kiume ntamlea basi. Haya mambo ya kuoa yamepitwa na wakati kupeana stress tu.
Ebu...
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee...
Kuna dada alikua na bf wake wakati wapo chuoni. Bf akamaliza kabla yake akapata kazi Njombe wakati huyo dada yuko chuo Mbeya. Kaka hakuwahi kumpa hata 500 ya vocha na anafanya kazi. Dada wa watu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Rad ni silaha muhimu sana katika uloz yaan uchawi
Rad hutumiwa muhalifu, mwizi, taper yaan yeyote...
Ndio nilikuwa mgeni hata wiki sijamaliza toka tuhamie (Lusewa)Namtumbo, ilikuwa ni Jumatatu nimerudi toka shule nikiwa nimepumzika na braza hapo nyumbani.
Akaja msichana mmoja kakusanya vitoto...
Kwa wale wlio wahi kukesha au kuchelewa kulala tupeana mastory.
Kuna siku nilienda Moro aisee nikakutana school mate ile mastory na kuhama vijiwe nikajikuta saa 11 asubuhi hii hapa nililala...
umeoa au umeolewa?
bandugu, mnaonaje kujitahidi kuwa wa kweli kwa hili itasaidia sana endapo mtu akikufata Pm uko anajua kama ana deal mke wa mtu au mme wa mtu..
ukweli utakuweka huru...
Hii mada ni kwaajili yetu wanaume tu sasa mdada ukija hapa usije lalamika kwasababu nimeshatoa angalizo.
Wakuu kuna kitu kidogo hapa nimeona niwadokeze kwa ufupi.
Kutokana na...
Ama ni dhahabu nimeiokota kwenye kokoto nyingi sana,ila usijezidisha mahaba nikapagawa nikawa mwehu wa mapenzi,nipe kidogo nisijekutafuna mpaka mifupa,wajua toka nimekuwa nawe damu yangu...
Najua mnanisoma hapa,
Nimefuga rasta miaka 15 hadi kukua then naleta CV zangu kumbe mnanichora tu, mkiniambia nikanyoe kwanza nimenyoa na kazi sijapata hata kuitwa kwenye interview sikuitwa...
Kuuliza si ujinga, naomba unisaidie kupata majibu ya maswali haya manne 4:-
1. Aliyechora ramani ya Dunia alipo kuwa anaichora yeye alisimama wapi?
2. Mtu wa kwannza kutengeneza pesa, yeye...
Ukimuona mtu anajitafunia vyake usione kavipata kirahisi rahisi tu,hakika wanaume tunapitia mengi sana kwenye mitongozo
Unaweza kutuma msg 40 hakuna inayojibiwa hata moja ila tunapambana...
Tumsifu Yesu Kristu!
Nina Jambo Nataka Kuwashirikisha Ndugu Zangu!
Naandika Maneno Haya nikiwa na Huzuni Kubwa Moyoni...Huzuni inayosababishwa na Kutotimiza Ndoto yangu Kubwa ya Utotoni...
Dogo wa miaka 8 alishtakiwa kwa kubaka.Mahakamani,wakili wake ambaye alikuwa ni wa kike,alikatoa kauume ka dogo nje kama ushahidi na kukashikilia,akasema"ndugu hakimu angalia,anaweza kubaka...
Wakuu kwema Heri ya mfungo huu unaoendelea na heri ya Sabato pia.
Niingie kwenye maada kabla sijazama ndani naomba wajuzi wa mambo watadadafua nini maana ya vituko na Beach.
Kwa mimi vituko...
Huku mtaani kwangu kuna wanawake wako bize kuulizia muda ambao kombe la Dunia litakuwa linachezwa
Jamani, Wambieni wake zenu muda ambao kombe la dunia litakuwa linachezwa
Ule wakati uko chuo ndiyo umeanza kuonja pombe, mnaitana vyumbani Jumamosi au Ijumaa jioni mnaanza kunywa bapa kabla ya mtoko ili mkifika club unywe moja tu kubana matumizi.
Umeanza kupenda wine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.