JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa madada wenye kubarikiwa rumbesa aka mawowo wanajua kulingia jamani,unakuta mdada analitikisa kotekote tena ukiwa unapishana nae ndo utakoma. Kiukweli lazma akate shingo kama lijali yani huu...
0 Reactions
251 Replies
32K Views
Magoli ya penati
1 Reactions
1 Replies
1K Views
*KIVULI BHANA,* *Yaani mimi nipo hapa Gengeni nanunua MCHICHA, lakini chenyewe kimesimama BUCHANI.* Sijui kina hela! [emoji45]
3 Reactions
1 Replies
890 Views
ikulu dar daraja kubwa zuri lipo dar coco beach dar Azam, Simba na Yanga zipo dar uwanja wa taifa upo dar hospital ya taifa ipo dar airport ya kimataifa ipo dar (5 stars) mwendokasi ipo dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ulikuwa wapi muda wote? Wana JamiiForums tulikukosea nini labda hadi ukatususa? Umejisikiaje kutukimbia Sisi ambao tulikupenda na bado tunakupenda na tutakupenda? Hivi unajua kuwa Wewe humu...
7 Reactions
139 Replies
11K Views
Hii ni List yangu kwa vigezo vyangu mwenyewe wa nyimbo bora na nzuri zilizotoka mwaka huuu. Diamond Platinumz ft Omarion _ African Beauty Mensen Selekta _ Kinanda Jolie _ Bado mapema Kwesta ft...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
KWA SEKUNDE 40 hizi ondoa stress.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
*MATHEMATICS EXAM PAPER* *Time*: *3Hrs 30MINS* *INSTRUCTIONS:* 1 *_ATTEMPT ALL QUESTIONS_* 2 *_ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS_* *1.* You are a married man and you have dated somebody's wife...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam wana jf kuna dem nilimuelewa sana nilivomtokea alinikataa kata hata sikuamin da wadau npo bench kupenda usikopendwa jau
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari enu wakuu, Ati PM yangu ina shida gani mbona haipokei message toka kwa wadada wa JF? Mods et PM yang mmefunga isipokee PM za wadada? Angalieni tatzo liko wapi mrekebishe Wadada embu...
1 Reactions
62 Replies
3K Views
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu. Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema. Hakuna...
29 Reactions
136 Replies
8K Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Hakika nilijisikia vibaya na mnyonge sana baada ya JF kutokuwa hewani kwa takribani miezi miwili na ushee. Nilitamani hata niache kabisa kuingia kwenye mtandao...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, Wakati nasubiri chai leo home nikasema nisikilize radio,nikaweka Choice FM,basi nikasikia kuna session inaitwa mahabara ya mapenzi,yaani unawatumia message kwenye kipindi kuwa...
15 Reactions
115 Replies
8K Views
Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Matatizo ni sehemu ya maisha, lkn tatizo la kuishi bila kuperuzi JF ni tatizo ambalo limenivuruga. Haya haya wakuu tuambizane ,kipindi JF ilipofungiwa kwa wiki tatu hizi ni member yupi ulimmiss...
18 Reactions
469 Replies
22K Views
Kwanini? mmiliki aliamua kuiita kampuni yake DICK SOUND :):) hakufikilia hili jina maana yake?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nisaidieni kujua alipo huyu dada amepotea humu ghafla hadi natetemeka.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Binafsi niliitumbua Hela ya Ada niliyopewa na kule ambako nilitegemea kuipata nyingine mipango ' ikabuma ' hivyo ikanibidi niingie katika dhambi ya Kudanganya ambapo nilimseti Askari mmoja kuwa...
3 Reactions
6 Replies
853 Views
Back
Top Bottom