JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hope wote mu wazimaa..... ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANITIRIRIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu All in all...
6 Reactions
113 Replies
6K Views
Bila shaka mko poa sana wadau wangu wa JF,ebuana ni ghafla katika kutulia zimenijia fikra majina na avatar za hawa wadau #stunter na #nyaningabu wako wapi hawa?,hususani huyu stunter alikuwa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu. Napenda tushee kwa pamoja hili suala maana kila mmoja kuna kitu anapenda na akikiona roho yake inatamani hapa nazungumzia kwa upande wa juisi tu. Mimi binafsi hata kama...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
*Timu zilizo ingia Fainal ni* Simba Azam Croatia na France Kama hujaona team yako *Utapata tabu sana* [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Acha umbea,mwone!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
mod njooni mnifungie kama mnaweza
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Ronaldo ni mjanja sana, ameona kipindi hiki anachoelekea kuchuja na miaka ikienda mbio ( kwao miaka 30+) ni uzee, ameona apige dili la mwisho la maana kwenye mpira wa miguu kama kazi yake. Kila...
0 Reactions
8 Replies
962 Views
Juzi kati rafiki Yangu mmoja alitutoa dar hadi huko bukoba kama kampani wakati anaenda kumposa binti flani. Ni familia nzuri na yenye uwezo wa kati wacha Mungu. Kilichonishangaza ni kiasi cha...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
Heshima yenu wadau. Nimekaa muda huu nikakumbuka kifungua kinywa changu. Nimekula vitumbua 10 na supu ya utumbo. Kitumbua kimoja shilingi 100 hivyo nimetumia 1000 kwa ajili ya vitumbua. Supu ni...
12 Reactions
223 Replies
13K Views
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani. PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama. PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Ukiwa Jf kuna vitu vingi mno na mawazo ya wengi mno, mada za kufurahisha, kuhuzunisha, mahaba, siasa na utani mwingi kwa wana Jf wao kwa wao na kadhalika Ila kuna member ukiwafuatililia katika...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Karibuni tufarijiane kidogo black men...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mahaba yamepungua
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kifo
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Good morning
6 Reactions
156 Replies
6K Views
  • Closed
Jaman hisia za mapenzi nisawa na kikohozi huwezi kuzificha . Nikiwa kama mschana pia nina moyo unaotaman kua namtu unayempenda. Sijui ni mbaba au kijana ila Vlad popote ulipo tambua ,Nimetokea...
15 Reactions
202 Replies
13K Views
Maisha ya dar ni shiida na yanataka uwe na *KIFUA*, Yaani mkeo analetwa na mshikaji mpaka mlangoni na gari, ukimuuliza anakujibu kiulaini *UBER* hiyo[emoji85][emoji85]
3 Reactions
5 Replies
2K Views
*MZEMBE BAADA YA KUKUTANA NA REHEMA.* *MZEMBE ;* Mambo Rehema? *REHEMA ;* Poa!! *MZEMBE ;* Kuna kitu nataka nikuonyeshe!! *REHEMA ;* Kitu gani? *MZEMBE ;* Twende chumbani kwako...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalaam. Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia...
20 Reactions
113 Replies
5K Views
Back
Top Bottom