Jaman jaman wanaume wa sikuhizi ni michosho kwani wanakwama wap??
Si vijana si wazee wote wanataka starter yaan badala mwanamke ndo aandaliwee wao siku hizi ndo tunawaandaa mmekuwaje lakini...
Good evening ladies and gentlemen!
Bila ya shaka mmekuwa na ijumaa njema sana.
Siku ya leo kwa mujibu Wa ratiba yetu tunaye cocochanel .
Wengi mmekuwa na hamu naye
Na leo ndio siku muafaka...
Hey guys mko poa nyie......
Naanzisha uzi huu kwa ajili ya watu wa Kigoma pekeee. Kama unaishi kigoma au kwenu Kigoma lakini ukatoka basi tukutane hapaaaa!!!!!!
Kwa nia njema kabisa taja maeneo...
Mimi HANCE MTANASHATI au wengine wamezoea kuniita baba Tunda Sabasita, siku ya tarehe 06/08 ninatimiza miaka kadhaa hivyo basi nimeona mwaka huu niwaalike kidogo ndugu zangu wa JF kuna...
Husika na kichwa cha habari hapo juu Mimi ni kijana naomba kuwa katibu uenezi wa kuelimisha vijana nguvu kazi ndani ya chama kuwa puchu INA madhara yake na faida zake hivo inabidi wapige Mara...
Mwanaume kula chips mayai
Kunywa savana/wine ya St. Anna
Mwanaume kupenda/kuimba nyimbo za taarabu
Mwanaume kulipiwa bill na wanaume wenzake mezani.
Nimeona mkaka anakula chips mayai kanipa...
Leo kwa wale mabingwa wa kidhungu tutajifunza sentesi ngumu za kizungu,tunaanzia hapa:
1)chungulia ndani ya chungu-POT CRY INSIDE THE BITTER.
2)nyooka,kata kona,kisha piga simu-SNAKE,CUT THE...
MBUNGE ULAYA: Mheshimiwa Spika napenda kujua ni lini serikali itakarabati barabara ya Adam's court?
WAZIRI: Mheshimiwa Spika napenda kumhakikishia mbunge kuwa barabara hiyo itajengwa katika...
Tanzania ndio nchi pekee ambayo jangwani kuna mafuriko.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo risasi inapigwa juu inaua chini.
Tanzania ndio nchi pekee ambayo...
Endelea
Nipo njiani naelekea shamba kuvuna mpunga kwakua ndio nilio upanda.
Kumbuka kutenda mema kwa sasa ukiwa na uhai hapa dunia kwa kuwa ndio mavuno yako hapo baadae...
Imezoeleka /mara nyingi pombe hasa Konyagi humiminwa na hunywewa kwenye glass ikiwa na kipande cha limao au barafu.
Nimeshangaa sana kumkuta jamaa anakunywa konyagi anaimimina kwenye kikombe cha...
Hope wote mu wazimaa.....
ila kusema kweli jamani nimeimiss JAMII FORUM mpaka machozi YANANICHURUZIKA semaa huyu boss mpyaa anatupeleka mchaka mchaka mpaka nasahau kushika simu
All in all...
Habari zenu waungwana?
Naomba mnisaidie jinsi ya kuyaepuka haya matangazo maana nimekua nikikosa raha kabisa niwapo online.
Yamekuwa yakijitokeza kila baada ya sekunde 3, 2, 1 yaani...
Habari za majukumu wakuu wenzangu na wadogo zangu pia.
Sababu ya kusema hivi ni kwamba nimeangalia wanajamvi kwenye huu mtandao ni wengi mno ila wanao anzisha mada ni wachache sana.
Kwanza...
Harakati za kujikubali na kujiamini na mwili wako hata uwe wa size kubwa kiasi gani ambao kwa nchi za wenzetu wanaita body positivity imezidi kupamba moto mpaka kufanya wanawake kutojali miili yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.