kuna movie kali sana zilitamba wakati huo na kama hujawahi kuziona basi bado hujacheki movie...nakumbuka kitmbo hiyo nacheki movie kwenye mabanda, tena zikiwa zimetafsiliwa na LUFUFU. Zifuatazo ni...
Kwa sbb ya kuongea ukweli na kufungua ufaham wa watu wachawi wanapga vita nisiwe on line. Lakn Mungu ni Mkuu nimerudi kwa upya,
Poleni na hongeren sana kwa majukumu ya kifamilia na ya ujenzi wa...
Akikutongoza ukimkubali siku hiyohiyo anakuona maharage ya mbeya (malaya) wakati akikitongoza ukimzungusha mwezi mzima anakuona una roho mbaya anatafuta mwingine.
Ukiwa mkimya hata akikufokea...
2. Mr II aka Sugu; alitamba sana miaka ya 90 hadi 2000, moja ya vibao vyake matata sana ni ANA MIAKA CHINI YA 18, SUGU MOTO CHINI,
Huyu ni mmoja wa NGULI wa mziki wa bongo fleva,, Nlisoma kitabu...
Ukihonga shilingi 10,000
Ni bei ya.......
1. Sato kilo 1
2. Kuku 1 wa nyama
3. Kilo 1.5 za nyama ya ng'ombe
4. Sukari kilo 3
5. Donna kilo 6
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya ng'ombe lita 4
8...
Wakuu,
Kipindi tunasoma shule msingi hadi kidato kuna watu walikuwa wataalamu wa kusingizia wanaumwa ili wasiende shule.
Wakati wa tukisoma pia sekondari kulikuwa na wajanja wana doji bwenini na...
Unakuta mwanaume kila analotaka kufanya anakimbilia kwa mwanaaume mwenzie kuomba ushauri, kwamba anashindwa kua na msimamo kwamba nimeamua hiki nitafanya hiki lakini kutwa kumkimbilia mwanaume...
Habari za kuamka wakuu.
Kuna vimaneno ambavyo vinaibuka mitaani ambavyo hata huwezi chanzo chake vimetokea wapi.
Hata hata hivyo, mimi nikikusikia unayatumia moja kwa moja nakuweka kwenye kwenye...
Je ukaaji wa chaji katika simu yako unakuridhisha?
Kama sio umegundua sababu?
Je wajua kuna app za kusaidia angalau 40% ya ziada ya betri??!
Maswali + ushauri.....
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja
Wewe maadam jenifer unanimaliza sana kwakweli yaan unataka kunitoa roho aisee
Kwanza umeumbika ile mbaya hiyo...
Unakumbuka ipi hapa??
Je ni kauli Mbaya na si Kauli za Kweli?
1. Mkimaliza kuongea niambieni. niendelee kufundisha
2. Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3. Kama unajua...
Kwa wale wote Wasio amini dini kama Mimi watoe sababu humu...
Naanza na Mimi
"Dini zote zpo kimaslahi(Pesa)
Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet
Nawasilisha Maono yangu....
Tafadhali...
Umekuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamjawahi kuonana na akaomba umtumie picha. Ukamtumia picha mbili moja ya mwingine na nyingine yako.
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako...
Leo nimepanda toyo sasa kila saa na sema huu ubani unanukia wapi?kila saa kumbe ni dereca bodaboda kauwasha kaweka hapo mbele ilo bidii nimwambie simama nilicheka mpaka nikaishiwa nguvu hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.