JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za mida hii wana chit chat..... Bila kupoteza muda mida hii nimeshtuka kutoka ndotoni ila najilaumu sana kwa ndoto tamu kukatika mapema hivi! YALIYOJIRI NDOTONI. Wakuu leo nimeota wadada...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo: 1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
Nilikua nawaza tu Hivi hii JF forum hatuwezi kuichange iwe saccos,then tununue magari yetu mazuri, mabus na boda boda zituletee faida,. hiyo faida tununue meli nyingi za kusafirisha mafuta na...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Hakika yangu wote buheri wa afya Nianze kwa kusema inzi akiicha ujinga anaweza kutengenzea asali tamu kuliko nyuki.jf kwangu ni freezone pamoja na kujifunza kwa wengine sijui wanaichukuliaje...
4 Reactions
412 Replies
14K Views
Basi enzi hizo tuko chuo kuna rafiki zangu walikuja kutoka Marekani wakanialika lunch na marafiki zangu apartment kwao. Tukaenda na rafiki zangu watatu jumla tukawa wanne. Kufika wakatuchomea...
7 Reactions
120 Replies
9K Views
Wanajamvi Habariiiiiiii.... Nadhan sio mim tu jaman! yaaan koment nying humu jukwaan utaona mwishon mtu anamtag Mahondaw yaaaan cc: Mahondaw Wenye ufaham naomba mnijuze kidogo huyu Mahondaw ndo...
0 Reactions
76 Replies
4K Views
Naomba kujulishwa makadirio ya kutia bati na Gypsum board kwenye nyumba ya 150sqm ni kiasi gani?
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo...
11 Reactions
197 Replies
15K Views
Half time; Azam fc 4 vs prizoni 0
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Job Interview. MP OFFICER:- What is your name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- In full please Monday:- Monday Paul OFFICER:- Your father's name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- What does that mean...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa kapigwa swali na mwandishi baada ya mahojiano kama hivi: Mwandishi;unawashauri nini vijana wanaovuta oksijeni?? Jamaa;aseee nawashauri vijana waache kuvuta oksijeni kwani sio nzuri na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Aisee huyu jamaa huwa anatupatia malisho mazuri sana kwenye motivational tips zake kupitia facebook page yake ila kwa muda sasa Facebook page yake haipatikani hewani "kunani"?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wale wakali wa fashion wasiopitwa na ingizo jipya mjini Huo mzgo ushafika fanya kuweka order yako mapema.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
docmaniac is an organization specialized in the acquisition of Ielts,toefl and gre certification. We can provide original certificate for those of you, who for one reason or the other are unable...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
  • Closed
Huyu jamaa kapotea siku hizi. Nini kimemsibu? Kajitoa jf? Kapigwa ban? Au kabadili ID? #UsBaby!
2 Reactions
1K Replies
71K Views
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu. Unakuta...
17 Reactions
820 Replies
38K Views
Makobe wenzangu tukutane hapa,tupange wapi pa kwenda kudoea futari. Nalog off
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko me nimeanza 2004 kuhitmu 2009 N.B Heshima ni kwa wotee
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wapendwa? Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima. Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao? Maana...
9 Reactions
1K Replies
48K Views
Hii picha itakuwa imepigwa kwa simu aina ya Tecno. Nyingi ukipiga selfie picha inatoka kiarabu. Au utafikiri kioo. TeamTecno povu ruksa.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…