Umeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay mziki wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki yako kwa sautiii ili akusikie.
mara Dj anazima gafla mziki halafu...
Kawaida binadamu anapofika umri flani wa kuuaga utoto huanza kupata ndoto za ngono (wet dreams)
Sasa embu karibu kushare toka uanze kuota hizi ndoto ni mtu gani maarufu(star) ushawahi kurukanae...
Wakuu hamjambo?
Nilitegemea kurudi #DarCityBaby ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city...
Mimi mkristo ila nafunga sasa kwenye pita pita nikaona bango linasema "Kufunga bila kuswali ni sawa na kuweka simu chaji bila betri"
Sasa ndo nauliza Je? Fungo yangu inahesabika au najishindisha...
TANZANIA YATANGAZA KIKOSI CHAKE CHA WACHEZAJI 23 KUELEKEA KOMBE LA DUNIA RUSSIA 2018
MAKIPA
Aish manula
Peter manyika
Said mohamed
MABEKI
Yusuf mlipili
Erasto nyoni
Shomari kapombe
Gadiel...
Hadithi za mademu wa kibongo....
saa...12:00 nakuja 13:20 ndio naoga,
15:50 navaa nguo 17:40 ndio natoka,
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni...
Salam kwenu wana chit-chat.
Siku hizi kuna tabia ambayo mimi kama mwanaume mtafutaji siifurahii.
Wanawake hawatupigi mizinga kama zamani.
Wengi tulishazoea haipiti week baby naomba hela ya kodi...
Nipo pande za Ukonga huku napata sharbat basi kuna wahudumu kama wawili hivi wanapita kuwahudumia wateja hapa nilipo nimekoma kinoma kwa hawa wahudumu wawili.
Alafu wote vijana wa kiume, hila...
Habari zenu wa JF
Leo naomba tujadili namna Mama zetu wanavyolea watoto wetu
Hivi ni sahihi Bibi kumtetea mjukuu pale unapomuadhibu hata kama amekosa?
Wewe kama mzazi wachukuliaje suala la...
Ni hoja nyepesi sana kuijibia kwanini ulikohoa ulipopishana na mwanamke.
Wala haihitaji uwepo wa Peter Kibatala au Tundu Lissu(Kaka wa taifa) wala Fatuma Karume kuijibia kesi hiyo.
Hii ni kesi...
wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo
kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao.
Je...
Asante mungu kwa kunijalia siku nyingine naomba ulinzi wako kutwa nzima ya leo uniepushe na aina zozote za kishetani,unipe nguvu na afya njema,katika jina lako takatifu
AMINA.
Dear Juma Mwamnofu.
Hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Sisi sote tu wazima wa afya.
Dhumuni la kukuandikia barua hii ni kukujulisha mambo machache.
Siku hizi vitu vya...
*Hivi mmegundua kwamba Sasa hivi kila YANGA wakifungwa basi kuna mtu maarufu anatoka gerezani... walifungwa na Mbao Babu seya na mwanaye wakatoka gerezani, wakapigwa na prisons Sugu akaachiwa...
Hii niliangalia Interview take na CMG pale alipoulizwa je unampango wa kuongeza mke ? Pale mtu aliyekomaa ni rahisi tunadanganya wazazi ushindwe kudanganya media,alitakiwa kuruka futi mia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.