JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!! Mwanzo walianza vizuri sana Tsh2000=GB5 Tsh1000=GB2 Tsh500=mb600 Kwa wiki Wakaja...
0 Reactions
51 Replies
3K Views
ha ha ha
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam, Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
The heading above is concerned. Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana.. Em tiririka na sisi tupate furaha...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda...
50 Reactions
1K Replies
48K Views
  • Closed
Kwa yeyote mwenye kufahamu tabia zao,watu hawa anijuze.Please!
0 Reactions
216 Replies
57K Views
Amani ya Bwana iwe Pamoja nanyi Ndugu zangu Wakristo/Waislam! Nimejaribu kutafta msaada kuhusu hii ndoto kila mahala ila bado sijapata ufafanuzi wa kunisaidia. IKO HIVI Takribani miaka kumi na...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Weka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo. Mfano. mkuu. papuchi Kishudu . Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki. Hiyo...
7 Reactions
104 Replies
7K Views
Salamu zikufikie ewe mrembo kritika popote ulipo, sina hari juu yako mimi ny'ang'any'ang'a sina usemi mama... umenibamiza mlangoni sina jinsi ntatoa tu damu. mapenzi jeneza basi mi ntalala...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakuu habari ya usiku natumai mnaendelea kupumu Niko safari kutoka dar naenda Mby niko kwenye IT dereva ni mdada mrembo afu tuko wawili shida ninayo ipata hapa amevua nguo ya juu amebaki na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nakuombea furaha yako iongezeka kama bei ya petrol na umeme mashaka yako yapungue kama kura za ccm 2010 umaarufu wako uongezeke kitandan na kwingineko kama kijiji cha loliondo hekima zako...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A kiss kissed can be rekissed if the kisser and the kissee agree that the kiss kissed was not well kissed.
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Jina lilipohusishwa na zero akalikana na kutwaa jipya, na hilo jipya lilipohusishwa na Makontena yaliyohusishwa na kutaka kukwepa kodi nalo ameanza mchakato wa kulikana. Kwa kuanzia ameanza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, natumai hamjambo! Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama, Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Ni ulafi
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Namshukuru mola wa viumbe wote baada ya kuhangaika sana mke wangu sasa ni mjamzito. Tangu wiki ya kwanza ya ujauzito wake ambao sasa una wiki takribani tisa amekuwa na tabia ya kuwa na mimi karibu...
3 Reactions
45 Replies
185K Views
Wasalaam Kama kichwa kinavyojieleza salam zangu ziwafikie watu wafuatao; •Wanaume wote wanao fanya scrub na kufanya make up. •Wanaume wote wanao tumia emoji kama hii •Wanaume wote wenye selfie...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom