Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi...
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana
Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!!
Mwanzo walianza vizuri sana
Tsh2000=GB5
Tsh1000=GB2
Tsh500=mb600
Kwa wiki
Wakaja...
Wasalaam,
Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi...
The heading above is concerned.
Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana..
Em tiririka na sisi tupate furaha...
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda...
Amani ya Bwana iwe Pamoja nanyi Ndugu zangu Wakristo/Waislam!
Nimejaribu kutafta msaada kuhusu hii ndoto kila mahala ila bado sijapata ufafanuzi wa kunisaidia.
IKO HIVI
Takribani miaka kumi na...
Weka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.
Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .
Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.
Hiyo...
Salamu zikufikie
ewe mrembo kritika popote ulipo, sina hari juu yako mimi ny'ang'any'ang'a sina usemi mama... umenibamiza mlangoni sina jinsi ntatoa tu damu.
mapenzi jeneza basi mi ntalala...
Wakuu habari ya usiku natumai mnaendelea kupumu
Niko safari kutoka dar naenda Mby niko kwenye IT dereva ni mdada mrembo afu tuko wawili shida ninayo ipata hapa amevua nguo ya juu amebaki na...
Nakuombea furaha yako iongezeka kama bei ya petrol na umeme
mashaka yako yapungue kama kura za ccm 2010
umaarufu wako uongezeke kitandan na kwingineko kama kijiji cha loliondo
hekima zako...
Jina lilipohusishwa na zero akalikana na kutwaa jipya, na hilo jipya lilipohusishwa na Makontena yaliyohusishwa na kutaka kukwepa kodi nalo ameanza mchakato wa kulikana.
Kwa kuanzia ameanza...
Habari wana jukwaa, natumai hamjambo!
Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,
Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa...
Namshukuru mola wa viumbe wote baada ya kuhangaika sana mke wangu sasa ni mjamzito. Tangu wiki ya kwanza ya ujauzito wake ambao sasa una wiki takribani tisa amekuwa na tabia ya kuwa na mimi karibu...
Wasalaam
Kama kichwa kinavyojieleza salam zangu ziwafikie watu wafuatao;
•Wanaume wote wanao fanya scrub na kufanya make up.
•Wanaume wote wanao tumia emoji kama hii
•Wanaume wote wenye selfie...