*TAARIFA*
*Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini Sana manake unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion20 utazilipa mpaka ukome.*
*Utaratibu mzuri ni wewe kwenda bodi...
Yule mkaka nnaemkubali ,nnaempenda (hapa sasa kila mmoja atatoka na wazo lake mtajijua wenyewe maana binadam mna hila nyie)haya sasa nalikubali sana hili li mkaka lizuri zuri yaan unaweza mtafunia...
Nimetembelea maeneo tofauti tofauti katika mwisho na mwanzo wa mwaka huu Tanzania na visiwani Zanzibar sio siri hali za uchumi wa mtu mmoja mmoja ni ngumu sana.
Watumisi ktk NGO's wanapunguzwa...
Wana jf hope mko poa uku mkiendelea kumalizia malizia weekend uswazi kuna mashushu hatari iko hivi
Nina mwezi kama mmoja nimeamia uswazi hapa nilipoamia tunaishi wapangaji watatu wengine wote...
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni.
Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu.
Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara...
Eti wanatudharau wanaume wa mjini atuna nguvu za kiume...mbona madada zao wakija kufanya kazi huku mjini, tunawapaga mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...
Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu...
Habari zenu wakuu.
Hii vita baridi kati ya wanaume wa dar na wanaume wa mikoani naona inazidi kushika kasi na sijui nani atakuja kuiamulia.
Nasema hivi baada ya kukaa na kulitathimini hili...
Huyu shemeji yenu alichonifanyia Leo sijui nifanye nini !
Nimetoka kibaruani kuuza duka la mchaga happy mjini nimechoka,si nikasahau kumletea mikate ya chai ya asubuhi.!!Eti anadai ndiyo matatizo...
UTAFITI MCHUNGU!!!
Maneno ya akina dada na maana zake halisi!
1. Nisalimie ma mkwe jaman= Mdada wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.