Niaje wadau,
Swali kwa wale wenzangu na mimi tulioweka picha zetu kama profile picture humu JamiiForums, ama kunogesha zaidi wenyewe wakaita avatar.
Utajisikiaje siku mtu anaiba picha yako alafu...
Hapa JF kuna majukwaa mengi, kila mtu ana uhuru wa kupitia jukwaa analopenda kulingana na maudhui ya anachotaka kujifunza/kusoma mfano mambo ya elimu, siasa, mapenzi n.k
Binafsi napenda sana...
Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za...
Imezoeleka kwenye mitandao ya kijamii kusikia kila kitu kibaya wanapewa wanaume wa Dar, ****"poor performance kunako 6/6, sijui eti vibamia, n.k
Yawezekana madai hayo in kweli, ila tukubali kuwa...
Nilifika harusini, na kukuta milango miwili, mmoja umeandikwa ndugu wa Bwana Harusi, mwingine wa bibi harusi; nikaingia wa Bwana Harusi. Mbele nikakuta milango mingine miwili, mmoja umeandikwa...
Habari za usiku wakuu.
Ninao mbwa wangu wawili midume yote, niliwahasi mapema miaka ya nyuma. Kila siku sa nne usiku ndo nawatoa toka kwenye banda lao.
Nilichokiona muda huu nimekasirika...
Kama kujiajili ni moja ya chachu ya kupata pesa basi naombeni mniongoze n wapi nitapata soko la kuuza MENDE?
Kama pia kutakuwa na kiwanda cha kusindikia hao wadudu naomba mnisukumizie huko maana...
Katika utafiti wa kijiografia huko Marekani, imegundulika kuwa katika sayari ya jupiter pia huishi binadamu kama sayari yetu hii ya dunia [earth].
Tofauti iliyopo kati yao na siye ni kwamba, sisi...
Heshima kwenu wakuu;
Hapa buguruni ilala dar kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu biashara za vifaa vya ujenzi. Hivyo basi leo nitajibu baadhi ya maswali machache nitakayoulizwa.
Kipenzi Mulhat Mpunga,
Siku zimesogea siku hizi wanaita siku zamwendokasi na hatimaye leo umetimiza miaka …….katika uso wa dunia hii. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako...
Wakuu mimi ni mgeni humu kwaiyo nimesukumwa kuandika huu uzi usikuli nikute manunda yamelala ningependa kujua ni member gani humu mkorofi sana ambaye natakiwa kuka nao mbali?
Wakuu nawaambia ukweli msipende kugegeda warembo msiowajua gizani aisee mtakuja kugegeda majini nawaambia
Huu mzigo nilichota counter baa moja hivi hapa town nikatoka nao hadi geto ile kufika tu...
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!.
MUME: Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mie tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya...
Aisee kuna mambo ambayo ni ngumu kuyasahau hasa kipindi hicho mambo ya shule za bweni..
Yapo mambo mengi ya kukumbukwa lakini kubwa ni hawa viumbe hai member katika chama lao wanaoitukuza nyeto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.