Weekend naianza vibaya,
Baada ya kazi zangu zahapa na pale ikabidi niende kumsalimia Mama mzazi. Nilipofika tumbo likachafuka ikabidi niingie msalani(chooni), ile nafunga mlango wa choo nikasikia...
WIFE: Sweety, how many women have you slept with after we got married?
HUSBAND: (quiet)
WIFE: (10 minutes later) Sweety, I asked you a question
HUSBAND: (Quiet)
WIFE: (15 minutes later)Are you...
Habarini za j3 ILIYOTUKUKA waheshimiwa sana wana jamvi,nashangaa hii siku watu wanaiita eti blue Monday hata sijui kwanini haikuwa red Monday, black Monday au green Monday.....ok hata ivo hilo sio...
Ijue nguvu ya BUKU
Asubuhi..chai kikombe mia2,chapati mbili mia6 na maharage ya mia mbili mchuzi mwingiii...
Tayari hapo paka jioni tena!??BIKO paka Ni bahatishe noma sana.
Salaaam wakuu,
Za Jumamosi hiko hivi Jamii forum ina majukwaa mengi, sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la MMU, Chitchat, Elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja...
Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa...
Ninawaza jinsi nitakavyopanua ka pensheni kangu wakati sina nguvucya kufanya kazi lakini ninahitaji kula na kutubiwa. Kama mjuavyo social security yetu bado changa kuhudumia wahenga.
Hiki...
Since Magufuli has been the most mentioned name in Tanzania this past year, I think Oxford dictionary should consider creating a space for him in the dictionary. like;
Magufuli: /Ma-gou-fou-lee/...
HABARI WAKUU UKIWA UMEJIPUMZISHA KUTOKANA NA KAZI ZA HAPA NAPALE NIVYEMA KUCHANGAMSHA MIND SASA NIMELETA HAKA KASTORI ILI TUPOTEZE MUDA WA KULALA
Unaambiwa alikuwapo m bongo , mchina na mkorea...
Mimi ni mfanyabiashara wa vocha za simu.
nimeuza vocha toka hasubuhi mpaka jioni.
ilipofika jioni wakati nafunga duka,mteja akaja na kuniuliza "VOCHA SHILINGI NGAPI ?
mi nikamjibu bei ya vocha...
Nakupenda mom, umefanya mengi kwa ajili yangu
ulinibeba tumboni mwako miezi 9
wewe ndio unaejua ukweli wowote kuhusu mimi
wewe hukulala mpaka mimi nilale
wewe hukula mpaka mimi nile
hukuvaa...
Tumezoea kuna misamiati iliyoozoeleka katika mazingira fulani,...mfano humu kuna neno,ukilitumia watakuelewa membaz wa humu tu,...Twambie huko uliko simu za touch mnaziitaje?