Aman iwe nannyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Mwaka ndo umesepa mazee hivyo hatuna bud kuuaga na kukaribisha mwaka mwingine mpya
Kama ilivyo kwa miaka mingine matukio...
Umofia kwenu jukwaani.
Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma alikuwepo mwanamama Hawa ambaye alikuwa dereva wa basi jijini Dar.
Anadaiwa kuwa mwanamke wa kwanza kuendesha basi la abiria...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu
naomba tumalize huu utata na tumalize ubishi kuhusu haya majiji makubwa mawili dunian yaan PARIS NA NEW YORK...
Naikumbukaga sana nickname yangu jaman enzi hizo nipo form 3 nilianza kujiita YOUNG SINGLE n FREE!(Y.S.F)lilivuma sanaaaa! had kwenye daftar la teacher zwazwa unaandika tu sema masomo ya teacher...
wakuu.
habari ya kwenu uzi huu ni maalumu leo tunakata mzizi wa fitna nani mchapa kazi kati ya wanaume wa Dar na wale wa mikoani maana kumekua na vijembe visivyoisha.
kila mmoja ataje mtazamo wake...
Kama utani vile. Mtu nimemtia ndani. Mm namwambia anilipe pesa yangu anasema vyuma vimekaza. Sasa hapo hapo ndo nikapata sababu ya kumtia ndani. Ataniambiaje mimi vyuma vimekaza ilhali mkulu katoa...
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi...
wakuu habarini,
kama kichwa cha habari hapo juu,nashawishika kuamini jiji LA dar limekaliwa kwa wingi na watu wa mikoa ya kaskazn,sababu zifuatazo
1_wakati huu wa x mass wenyej wa mikoa ya kaskzn...
Habari wanaMMU?
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa thread katika jukwaa hili japo sio sana lakini nimekuwa nikifuatilia comments na nyuzi za huyu dada tajwa hapo juu aisee kuna kitu kinaniambia...
Aman iwe nanyi wapendwa
niko huku dar lakin kinachoniacha mdomo waz ni kwamba mkiwa mnapiga story na watu wa dar
Labda kiswahili au mwonekano utakuta wanakuuliza wewe jamaa mwenyeji wa wapi...
Kuna members hapa jukwaani wasisikie jambo hasa kwenye siasa, lazma waje hapa kufufua thread za kitambo ili kujikumbushia na kilichotokea sasa. Kwa lugha nyingine tunaita kufukua makaburi. Ni...
Piteni hapa tuzungumze faida na hasara kama zipo, zinazosababishwa na uwepo wa Gesi asilia
Pia hali ya maisha maana kwingine wanasema Vyuma vimekaza.
karibu!
Upo ndani ya daladala na
1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu
Mara paap!! umeibiwa kasimu kako ka techno,utamuhis nan????
.
Hapo vip!!
Leo katika pita pita zangu nikawakuta watu wanashangaa mbwa wawili walionatiana tokea asubuhi mpaka jioni.
Duh!!nikagindua Katika wanyama wote anayefaidi penzi sana ni mbwa,wengine...
Habari Zenu Wakuu[emoji63]
Ni wiki Kadhaa Zimepita Nikiwa Nimekosa FT access Ya JF kutokana Na Kula "BANNED"
Banner Banner Moods sijui Nilipokosea But nimejikuta Katika Ulimwengu
Mwingine...
Kumekuwa na trend ya wanaume tukilalamika kuwa wanaawake wanapenda pesa au wanatuomba sana pesa,mimi naona wako sahihi!!
Maisha yale ya kuvumilia mme/mchumba akiwa hana kitu kwa kigezo cha upendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.