For all you haters, players, gold diggers, friends, foes and family. I wish you merry Christmas and Happy New Year. No hard feelings, povu linaruhusiwa.
1. A daughter sent a telegram to her father on passing her B.Ed exams, which the father received as "Father, your daughter has been successful in BED."
2. A husband, while on a business trip...
Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu...
Habar za usiku wana JF,
Jioni ya leo nikiwa natoka kazini kuelekea nyumban nikiwa na kisura chenye bashasha, baada ya kupata kahela kidogo ambacho kwa hesabu za haraka kalikuwa kananipeleka...
Kuna huyo comedian wa kenya anajiita MCA TRICKY yaani yuko vizuri mno tena sana na anajua kuchekesha haswa, kwa sasa aina ya comedy anayoifanya iko vizur mno tofauti na hizi zetu za mara kuvaa...
Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa...
Enzi zile za utoto kule kijijini tulikuwa tunalazimishwa kuchamba kwa kuburuzika chini kwenye udongo...
Yaani ulikuwa unawahi sehemu imebinuka kidogo kisha unapachika tako huku na huku...
*Upo ndani ya daladala na
1.chris brown
2.rick ross
3.nicki minaj
4.beyonce
5.rihanna
6.msaga sumu
Mara paap!! umeibiwa kasimu chako cha techno,utamuhis nan????*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.