BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII
Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo...
Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa...
wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
MAZDA CX 5
Cc 2000
Injini hii inakuja na technologia ya SKYACTIV
ambayo hufanya kazi kama vvti ,lakin ni zaidi ya vvti na kuifanya itumie mafuta machache kwa mwendo mrefu na kutoa nguvu ilio...
Tuanze na nini maana ya Cruise Control?
Kwa maneno yangu, Cruise Control (CC) ni teknolojia iliopo kwenye magari inayosaidia gari litembee katika speed fulani aliyoiset dereva bila dereva...
Ndugu wana jamvi hii gari nimeipenda kwanza ina nafasi kubwa ya kubeba mzigo, pili engine cappacity yake ni 1.5. nataka kununua hiyo kuna mwenye uzoefu nayo tusaidiane?
Kwanza tuanze na faida.
Sio siri kumiliki gari kunaimarisha hadhi yako hapo kitaani kwako. Unaonekana wa tofauti mwenye hadhi ya juu. Si ajabu watu wakamwacha mjumbe au balozi wa mtaa wakaja...
Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni...
Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma...
Nilikua na safari ya Dar hadi Moro town kisha Ifakara na kurudi Dar, kwa kutumia Atenza.
Mafuta (Diesel Tsh 80k) niliweka Puma ya Survey (jirani na Mlimani City) na kuanza safari pale kuelekea...
Nikiona hizi gari zinavyopiga routes kule kijijini kwetu kwa muda mrefu na bado vinapumua tu fresh, aisee sioni vitz, spacio, ist kuifikia level yake.
Inaweza kuwa gari isio na comfortability ila...
Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi.
Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na...
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja...
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara.
Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa...
Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982
Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii...
Kuna taasisi inayojihusisha na mambo ya minada, ikishirikia na TRA Tanzania wamekuja na mnada wa namba za magari special kumi na 7 watakazo ziuza Tar 05 April.
Kushirikia namba moja ni Pesa ya...
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.