Toyota Crown ni gari maarufu kwa uimara wake, lakini kama magari mengine, inaweza kuwa na changamoto fulani, hasa kulingana na umri na jinsi ilivyotunzwa. Hapa ni baadhi ya matatizo ya kawaida...
Habarini za wakati huu wakuu.. Poleni na Hongereni kwa majukumu mnayotekeleza.
Kama hapo topic inavyoejieleza ni gari ipi nzuri na imara ya kumshauri mtu kununua kati ya BMW 3 SERIES na CROWN...
Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele.
Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali...
Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu.
Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side?
Kama...
Habari wakuu,
Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
Wakuu habari,
Naomba kujua gari Aina ya mark 11 GX 110 engine 1G-FE vvti inatumia oil lita ngap maana wengine wanasema Lita 4 wengine lita5 na Mimi nimeweka lita4 nimeona kabisa ipo full kwenye...
Wadau, Niko morogoro nakaribia kufanya maamuzi magumu ya kununua gari. Kati ya hizo gari naomba mnishauri ni IPI nzuri? Kuhusu ulaji wa Mafuta najua zinafanana ni cc 2500
Habari wakuu,
Naomba experience kwa mtu amewahi kumiliki gari ya kwenye subject line hapo, petrol option.
Changamoto yake kubwa (kama zipo)
Vitu vya kuwa navyo makini
Average consumption (japo...
Nachofikiria ni kuwa kampuni ya utengenezaji magari makubwa Mercedes Benz kwenye ripoti zao watakuwa wanaitambua nchi ya Burundi kama one among their potential customers.
Kwa hali halisi inaonekana kodi za TRA katika uagizaji magari Azina uhalisia kodi inakuwa kubwa kuliko gharama ya gari! Ni nani Mshauri wa Wizara ya Fedha katika swala la kodi je kuna vigezo...
Wakuu, moja kwa moja kwenye mada nomba kujulishwa changamoto na ubora wa Toyota Sienta,
Nataka kukanunua kwa ajili ya harakati zangu ndogo ndogo hasa biashara ya usambazaji bidhaa vijijini vip...
Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
Wakuu habari ya muda huu, ukweli toka moyoni nimekua navutiwa sana na gari aina ya Toyota alteza, hasa 4 cylinder engine.. Manual Transmission, kiasi cha kukosa usingizi nikifikiria siku ya kwanza...
Kumekua na ushindani mkubwa sana miaka ya hivi karibuni kwa wamiliki wa bus kati ya kampuni ya Scania kutoka Sweden na kampuni za Kichina.
Scania
Hizi ni gari ambazo ni himilivu sana kwenye...
Wakubwa mtakumbuka hapo juzi niliwandikia kuhusu xtrail yangu kushtuka shtuka ikikfika rpm ya 40 kwenda 60 hapo n mkanishauri kuwa tafuta plug og na kuna member aliniambia kuna jamaa wanaitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.