Habari wakuu,
Kuna huyu mdogo wetu kitaani hapa amemaliza chuo miaka kadhaa iliyopita ila yupo home Hana mishe za kueleweka. Sasa Mzee kastaafu na ameshachukua kiinua mgongo. Dogo amemwomba Mzee...
Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu...
Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu
Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta...
Ndugu zangu habari.
Baada ya baadhi ya shughuli zangu kwenda mrama nimeamua kufanya kazi ya taxi mtandaoni maarufu uber.
Sasa nimekuja hapa jukwaani kuomba ushauri kutokana na gari...
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na...
Wakubwa nimenunua gari aina ya nissan xtrail mwaka 2022 mwezi Nov aina ya engine ni MR20 nafikiri kwa wazoefu wa gari engine yake haina tofauti na engine ya nissan dualis ,, nilichoshangaa toka...
Tofauti kati ya Scania G420 na Scania 119 inahusiana na mifano tofauti za magari ya lori yanayotengenezwa na kampuni ya Scania. Scania hutengeneza magari ya lori, mabasi, na magari ya kibiashara...
Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations.
Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye...
Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!
Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki...
Habari wadau,
Ninahitaji Fundi rangi mzuri, nimefanya research kati ya watu 8 katika 10 wanasema nipeleke gari Moshi au Arusha sababu wanajua vizuri kupiga rangi.
Je, ni kweli wanapatikana huko tu?
Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa...
Wakuu.
Kwa wapenzi wa pikipiki kwa matumizi binafsi, unapendelea aina ipi? Au umewahi kumiliki aina ipi? Yepi mazuri na mabaya ya iyo aina? Ulinunua wapi na bei vipi?
Baadhi ya aina ambazo mimi...
Wakuu heshima kwenu.
Mimi ni mmoja kati ya wamiliki wa Pajero IO, GDI. Kwa ujumla ni gari zuri ila linachangamoto zake ambazo nyingi nadhani zinatokana na mafundi wetu mtaani kutokuijua vizuri...
Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD.
Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye...
Habari ya asubuhi ndugu zangu.
Nahitaji kununua gari yangu ya kwanza lakini napata wakati mgumu kwenye kufanya uchaguzi. Kwa wabobezi wa mambo ya magari ni ipi tolea zuri kumiliki kati ya gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.