JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wakuu karibuni natarajia kununua gari yangu ya kwanza ningependa kupata ushauri wenu kati ya hizi gari Subaru impreza (2009/2008) na crown athlete (2005/2006) au BMW 3 Series (2008)...
13 Reactions
91 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa compact SUV kuna haya magari mawili, Mazda CX-3 na Honda Vezel. Ingawa ni taste mbili tofauti, lakini yanaweza kufananishwa ata kwa udogo. Mazda CX-3 yeye ana sifa zifuatazo...
3 Reactions
11 Replies
581 Views
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo...
5 Reactions
15 Replies
327 Views
Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya...
2 Reactions
4 Replies
415 Views
Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari...
10 Reactions
79 Replies
2K Views
Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida. Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
203 Views
Hatimae tumefikiwa. J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission. J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau nahitaji kupata msaada wa fundi mzuri wa CVT gear box..nipo dsm, kigamboni, namba yangu (0719058458) nina vitz new modal yenye injini 2SZ-FE, yenye CVT gear box, ( gear selector ina P, R, N...
3 Reactions
44 Replies
14K Views
Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada kwa Changamoto ya gari yangu ambayo inachangamoto ya kushutuka na kama kukwama kwama ikiwa intembea kwenye mwendo wa kati ya 20 hadi 40km/h, gari Nissan Xtrail - NT31, mwanzoni...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Hallo wana JF. Najua hapa wamejaa wataalam wa Magari pia. Mkoko wangu Toyota Allex 2004 Model, ilianza kuwaka taa(Check engine) siku Moja baada ya Kufunga Android radio. Kama kawaida...
1 Reactions
4 Replies
326 Views
Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari...
28 Reactions
292 Replies
7K Views
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa...
11 Reactions
14 Replies
3K Views
1. Ubora wa Ujenzi na Nguvu: Toyota Brevis inajulikana kwa uimara na ubora wa ujenzi. Ina injini zenye nguvu, kama zile za 2.5L na 3.0L V6, zinazotoa nguvu nzuri na utendaji bora barabarani. 2...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tunahitaji Gari za kubeba Mizigo Kwa maana ya Transiti trucks na local trucks. Tuna Mizigo mingi Badarini. Naomba utupigie simu Kwa 0753021619. Tunapatikana Dar es salaam. Karibu!!
6 Reactions
4 Replies
257 Views
Wanajamvi habari zenu... Nina jambo linanipa ukakasi kidogo, kuhusu haya magari yanayo uzwa na wabongo wenzetu kwenye page mbali mbali kama insta na kwingineko, ukakasi huo upo hasa kwenye...
7 Reactions
265 Replies
30K Views
Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
Nimeona Magari yafuatayo. NISSAN FUGA TOYOTA CROWN MARK X Naomba ushauri. Je Gari lipi kati ya Hayo naweza kushauriwa kununua? Napanga kutumia gari hilo Arusha, and kwa safari kadhaa miko tofauti...
1 Reactions
74 Replies
26K Views
Junior Mitsubish Pajero Wanajamvi kwa mwenye uzoefu na ufahamu wa hii gari,naomba msaada kihusu 1. Upatikaji wa spea 2. Uimara 3. Ulaji wa mafuta 4. Uvumilivu wa safari ndefu,labda...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom