Wakuu hongereni na majukumu, ya kujijenga binafsi lakini na Taifa kwa ujumla..
Kwa mara nyingine tena kwenye jukwaa letu pendwa naomba tuangalie muundo wa Toyota Altezza..
Mimi binafsi, napenda...
Sisi huku hatuyajui magari ila tu tunafahamu mitumbwi. Nimekuta watu wanabishana ila hakuna aliyeweza kutoa jibu la kueleweka mada imeanza hivi. **** jamaa yeye aliona gari limekwama katika...
Utangulizi:
Kumekuwa na changamoto hasa mtu anapotaka kuuza au kununua gari moja kwa moja bila kupitia kwa madalali (middlemen) suala linalosababisha usumbufu kwa muuzaji/mnunuzi kama vile; gari...
Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k.
Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi...
cyber truck ni gari la umeme la kisasa kutoka kwa kampuni ya Tesla, ambalo limekuwa na umaarufu mkubwa tangu lilipotangazwa. Gari hili linatambulika kwa muundo wake wa kipekee, nguvu zake, na...
Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni...
Habari zenu wana jukwaa? Mimi kwa sasa ni Mkaazi wa Zanzibar, niliporudi nyumbani nilivitiwa na Muonekano wa Nissan March nikaamua niinunue, ila Marafiki zangu wa karibu wamekua wananilaumu sana...
.
Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda...
Mi nmeend TRA kukata lessen sasa wanataka EFD kutoka seem nliyosoma nmerudi chuo wanasema izo zilifutika mana toka nimalize ilikua mwaka jana na lessen nmeend kukata mwaka huu naiyo ishu ya tra...
Ilipofika 2002 uzalishaji ukasimama wenyewe wanaita [production halt], Huu ni usimamishaji wa uzalishaji kutokana na kushuka kwa mauzo na kutopokea order mpya. Najua umejiuliza kwanini uzalishaji...
Nissan Patrol V8 ni toleo la juu la Nissan Patrol, ambalo linajivunia injinia ya V8 yenye nguvu na uwezo bora wa off-road. Gari hili linatumika sana katika mazingira magumu na linalotambulika kwa...
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Ikumbukwe chuma...
Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda.
Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania?
Mfano hii pikipiki...
Honda stepwagon,ninavutiwa na muonekano wake .
Kama kuna mtu anaitumia humu anaweza kutupatia uzoefu wake na pia changamoto zake kama zipo lakini pia upatikanaji wa vipuri kwa hapa Tanzania...
Toyota Harrier ni gari la kifahari linalozalishwa na Toyota na linajulikana kwa muundo wake mzuri, utendaji bora, na faraja. Toleo la Toyota Harrier lenye jina la "E New Moden" linajumuisha sifa...
Hali si shwari hapa Dodoma! Gari letu (GRG EXPRESS ) kutokea Mwanza - Dar limeharibika na tunasubiri litengemae, lakini hatujui tutafika lini Dar, kwani linaharibika kila wakati na abiria wanasema...
Wakuu habari ya mchana?
Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo.
Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.
Aliyebuni hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.