Howo N7 (NX) 6x4 Truck: ni gari la mizigo la kisasa, linayotumika hasa kwa usafirishaji wa bidhaa nzito na masafa marefu. Gari hili linatengenezwa na kampuni ya HSinotruk (Sinotruk...
Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya...
Habari ya wakati huu wakuu.
Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015.
Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show...
Magari ya Hybrid:
Uzi huu ni maalum kwa Wasiojua Magari ya hybrid wapate kuyafahamu
Katika ulimwengu wa magari, teknolojia ya hybrid imekuwa moja ya mabadiliko makubwa ya karne ya 21. Lakini...
The fourth Generation Toyota Coaster ilitambulishwa rasmi mnamo tarehe 22 December 2016 na kuwekwa sikoni Japan kwa ajili ta mauzo tarehe 23 January 2017.
Gari hii inapatikana ikiwa na aina za...
Hi guys, natafuta hii seal ya Mazda CX-7 inakaa kwenye oil cooler naomba kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana anielekeze tafadhari gari yangu inavuja oil sana.
Asanteni.
Wakuu nimefanikiwa kupata pesa milioni 1. 3 nataka pikipiki used boxa yenye plate namba D, hizi HD nafikiri naweza pata kwa akiba hii..
Sasa utaratibu huu sijaelewa vizuri, naomba mwenye uelewa...
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao.
Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko...
Nilijichanganya 2022 nikanunua 2009 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1...
Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model...
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu...
Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor...
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.