Hello fellow Subaru Fans,
Natumaini andiko langu hili linawakuta mkiwa na afya nzuri na mkiendelea na mapambano ya kutafuta riziki.
Kusudi LA kuanzisha Uzi huu ni kujikita moja kwa moja kwenye...
Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki...
VITU VINAVYO AMUA ULAJI WA MAFUTA KATIKA GARI UKIACHA CC:
1.Gear box
aina ya gear box gari inayotumia inahusika mno na ulaji wa mafuta mfano gear box ya manual ina CHANGIA ulaji mkubwa wa...
Wakuu.
Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk.
Yote tisa, hii...
Kwema wakuu, gari tajwa hapo juu imejilock, mara yamwisho kuitumia ni juzi ilikuwa fresh tu, jana wakati nataka kuondoka ikawasha taa ya engine hivyo nikaona nisitumie maana sijui tatizo, leo niko...
SABABU ZA GARI YA DIESEL KUA BEI JUU KULIKO PETROL
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
1. Uzito wa mafuta ya Diesel unaopelekea gari kutumia mafuta chini zaidi kwa wastani wa asilimia 15...
Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT.
Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao.
Model...
Habari za jioni members naomba kufahamu kusu madaraja ya leseni na aina ya magari ambayo unaweza kuendesha
Kama ifuatavyo:
Class B
Class C
Class D
Class E
Natanguliza shukrani kwa mwmbers ambawo...
Habar wakuu?
Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine.
Upande wa generator nna spare za
1. Perkins engine
2. Yanmar engjne
3. Deutz Enigine
4. Mitsubish...
Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.
Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za...
BMW X1- Kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
Utangulizi- Iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 2010 ikichukuliwa kama mdogo wa BMW X3 iliyotangulia sokoni tangu 2004.
Injini+...
Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura...
Nakumbuka mwaka 2019 nilikuwa na Nissan Wingroad niliagiza kutoka Japan, nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Ruvuma kijiji cha Namtumbo. Kijiji kizima kilikuwa kinaishangaa gari yangu, ilikua unique...
Wadau nimevutiwa na muonekano wa hii gari nataka nijipange niagize, naomba maoni kwa wanaujua ubora na udhaifu wake tafadhali. Ina CC 1990 na ni ya mwaka 2005
Habari,
Naomba kuuliza mtalaam anejua malori aina ya Daf FX 2019 na Man TGX 2018 26,500/26.460 BLS 6×2 MIDLIFT.
Kuhusu ubora wa hizi gari kiutendaji kazi pamoja na gharama za spea zake na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.