JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima...
1 Reactions
2 Replies
259 Views
Guys poleni na majukumu Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
41 Reactions
239 Replies
22K Views
Kutokana na ongezeko kubwa la viwanda Tanganyika, mahitaji ya malighafi nayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa sana. Kuna baadhi ya malighafi ambazo zamani hazikuwa na thamani yoyote. Ni aidha...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
HII NDIYO FORESTER NEW MODEL (4th GENERATION)🔥🔥 FORESTER ni gari ambayo imepata umaarufu wake kutokana na Ufanisi wa Utendaji wake ambao ni thabiti hata katika barabara zenye changamoto. Katika...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
4 Reactions
1 Replies
167 Views
Gari ni Toyota Wish 2010 (wanaiita new Model) kwa mkazi wa Bunju ofisi Posta. Inaweza ikawa na wastani wa Kms ngapi kwa lita moja? Kwa mwenye uzoefu please. Hapo fikiria umewasha AC muda wote...
0 Reactions
5 Replies
383 Views
Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine? Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
1 Reactions
15 Replies
525 Views
Niwe mkweli, nilikua sijawahi kuendesha gari aina ya toyota crown na mbaya zaidi kwenye circle yangu hakukua na mtu anaemiliki toyota crown labda siku moja ingetokea by chance nikaiendesha. Mimi...
48 Reactions
111 Replies
23K Views
Ukienda mikoa mingi ni kawaida sana kukuta gari hizi ndogondogo (baby walkers) za namba A au B zinadunda tu kitaani tena zikiwa katika hali nzuri kabisa. Lakini kwa dar ukikuta gari namba A au B...
6 Reactions
18 Replies
789 Views
Nahitaji msaada Mama yangu ameagiza VW Touareg Model ya kwanza 2002-2006,3.2 Engine V6. Ila cha kushangaza baada ya kutembea wiki 2 Taa ya Check Engine imewaka. Ameenda kwa Mafundi wameiangalia...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wazee Nina Gri Touareg CC 3500, Juzi nilikuwa na safari ya kwenda arusha nimetumia mafuta wastani wa lita 150 kwa kwenda tu, naomba kujua ikiwa ni sawa kwa wenye Touareg au kuna shida...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk. Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au...
35 Reactions
380 Replies
16K Views
Habari ndugu, natumai mnaendelea salama. Samahani naomba yeyote ambae ni expert ama mtaalamu wa magari makubwa, anitxt kwenye namba 0674573783 whatsapp. Nataka Awe anajua vifaa vyote na matumizi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa wale wanao agiza magari nchi za Japan,China,Singapore,UK,Canada na USA kipindi unapo agiza gari kama umenunua bidhaa nyingine mfano spare,electronics,nguo na machine ni vyema ukapakia ndani ya...
5 Reactions
9 Replies
432 Views
eti wakuu kwa hizi gari za familia za kutembelea ipi ni gari nzuri ya mitsubishi?
1 Reactions
18 Replies
596 Views
Mapinduzi ya EV yanazidi kushika moto, na Burkina Faso kama moja ya nchi za Africa, hawapo nyuma. Wamekuja na chuma ITAQUA EV yenye range ya 300 km. Taarifa zaidi kuhusu gari kama bei...
10 Reactions
23 Replies
898 Views
Juzi Tesla walizindua Model Y, ambayo ni update ya Model Y iliopita, wanaiita Model Y Juniper. Tesla walijitahidi sana kuweka hii siri, ila wananchi walishashtukia maana hakunaga siri haya...
12 Reactions
46 Replies
868 Views
Aisee usijichanganye kununua Any European cars Kama hela zenyewe nazo za kuunga. Nilinunua kwa madalali pale Biafra BMW X3 mwaka 2021. Mpaka Leo ukiacha service ya kawaida nimetumia takribani 8m...
24 Reactions
165 Replies
13K Views
Back
Top Bottom